cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Yaan cc ni vile hujui tyuuh ladha ya ulanzi, yaan utamu wa ulanzi hata sukari anayoizungumzia zuchu haifui dafu hapo.Nyie ni majirani na wahehe eeh?
Aliyewarogea kwenye ulanzi alikufa na vifaa vyake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]