Basi waacha ku normalize hii kitu, siyo cha kawaida kwa jamii ya wastaarabu hata kama ni tabia waiweke private hamna mtu atawafuata huko kuwauliza, hapa tumefahamiana wadau wengi na kubadilishana mawazo hapa na pale, kushare moments na changamoto za hapa na pale...ila wengi wanamute kwa sababu hizi, siyo sawa kama mtu anafirwa ni tako lake ila asituletee huku, hizi ni harakati wanazofanya kwenye uzi huu siyo sahihi