Unataka kunitafutia lawama wewe hawezi kuvaa hilo nitaulizwa mno limetoka wapi..? Kwanini..? Kwa Nani..? Saint Anne ni Nani kwako..?! Mlianza lini...? Umejuaje hili gauni ni la Yesu ndie mwamba kupitia saint Anne..??🤣
Unataka kunitafutia lawama wewe hawezi kuvaa hilo nitaulizwa mno limetoka wapi..? Kwanini..? Kwa Nani..? Saint Anne ni Nani kwako..?! Mlianza lini...? Umejuaje hili gauni ni la Yesu ndie mwamba kupitia saint Anne..??