cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Kwan babu hicho kipimo n kwa jinsia pinzani au wote?






Kwan babu hicho kipimo n kwa jinsia pinzani au wote?






UlaleKwan babu hicho kipimo n kwa jinsia pinzani au wote?
![]()
Mie huwa nachachawa kabisaa, yaan nikiwa na drive ndinga dunia yote naiona yangu.Kuna Raha flani ivi inakuwepo ukiwa unadrive![]()
Bado hujapata huo ugonjwa, wee mwenyewe utaenda na kuchojoa nguo zako 1 1.bora nife ila sio kupimana covid wanakopima saizi






Umeharibu hiyo
lolAmeeeen,



Gentleman kabisaaa.
Hizi ndiyo zana za kichina za kupima COVID 19 ambazo Dunia inazitazama kwa jicho la hasiraView attachment 1692087






lol




1St yr ni kituko tyuuh lol. Hapo sasa kipendhiiiiiiiiiih chake coca ktk ubora wake.




Mkuu kwa taarifa sahihi ni kwamba..kifuani kuna mtindi wa maana.chura flatskrini .risepsheni ni bwana asimame





had mbavu zinauma lol, hivi wee una nini lakini khaaaaaahVigezo vyote vimeenda kwa kipenzi changu.
Huyo muiba kuku mwambie kideri kimeanza.sijui ataiba nini jamani..








wallah nakugawa bureeeh lolNimetoka kumpa m2 haki yake, mwili una motoo balaah ndo naupoza kwa kusavei hapa ndani lol.Ulale





Kwa wapenzi wa mamiguu huu ni mtihani tena wa Cambridge kabisa



