Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Kwako wewe vigezo vyoooote navupiga chini kipenziHahahaha, sie wafupi wafupi kdg ,na hatuongei sana vipi ?
Kwako wewe vigezo vyoooote navupiga chini kipenziHahahaha, sie wafupi wafupi kdg ,na hatuongei sana vipi ?
Mi sio muongeaji ila ni muandikaji elewa hilo kwanza!Heee kumbe....bado sijapata blaza.
Hauna Rafik yako mrefu mrefu kidogo ambae haongei SAN kama wewe😅
Vigezo vyote vimeenda kwa kipenzi changu.Mi sio muongeaji ila ni muandikaji elewa hilo kwanza!
Ninae mwenye sifa hizo ni mpole lkn sijuagi kwanini huwa anakamatwa anaiba kuku! Mi nahisi huwa wanamsingizia! Ngoja nitampa namba yako najua tukiwafanyia maombi mtawezana tu dada..😂
Ataanza kuiba roho zenu tu..Vigezo vyote vimeenda kwa kipenzi changu.
Huyo muiba kuku mwambie kideri kimeanza.sijui ataiba nini jamani..
Labda aibe yako.yangu haiweziAtaanza kuiba roho zenu tu..
DuhNi muonekano wake wa sasa.
Huyo mama ni gumzo kwenye mitaa ya Adis Ababa kutokana na muonekano wake
Hahahaha ,dah ,no comments Rafiki kipenziKwako wewe vigezo vyoooote navupiga chini kipenzi
Comment lazima isiwepo kipenzi changuHahahaha ,dah ,no comments Rafiki kipenzi
Hahahaha, sio tunaleana ?Haki naanza kukulea mwenyewe kipenzi changu ili tuzeeke pamoja..
Umemaliza kila kituComment lazima isiwepo kipenzi changu
Basi tufanye tunaleana..imekaaje hiyoHahahaha, sio tunaleana ?
Basi imeshaisha kipenzi changuUmemaliza kila kitu
Hahahaha, inapendeza zaidiBasi tufanye tunaleana..imekaaje hiyo
Sanaaaaa 🧚♀️🧚♀️🧚♀️Rafiki yanguHahahaha, inapendeza zaidi
Mate yamechuruzika
KaribuSanaaaaaRafiki yangu
AmenHabari nzuri kabisa...
Mihangaiko tu rafiki. Si wajua tena hii dunia. Ni kuhangaika mpaka siku ya mwisho. Tumshukuru Mungu kwa yote![]()