😅 😅 Ndoivo tena next time nitakua sniper ❤️Picha imeshasepa na mkorinto 😅😅
Inapendeza mkuu...Nimeamka poa......!!
Mungu ni mwema bro.
Tunashukuru mkuuHongera mashetaniView attachment 1693008
Na kwako pia kheri nyingiInapendeza mkuu...
Uwe na siku njema
Aysee! Hamna kapicha tukuone ulivyochoka? Anyways kama aliyepewa haki yake ame enjoy basi safiNimetoka kumpa m2 haki yake, mwili una motoo balaah ndo naupoza kwa kusavei hapa ndani lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shukran mkuuNa kwako pia kheri nyingi
Wewe si mpenzi SYB???
Anne tafadhari usiharibu naomba uwe mtumishi mwema wa bwana..🤣Niharibu Mambo au nitengeneze mambo?
Kama hajui Yesu ni mwamba si ndio namjulisha Sasa[emoji23]
😅😅 nimejaribu tu kuuliza daddy.Acha uchokozi binti yangu [emoji16][emoji16]
Daddy kwani hakuna mkaka unaemjua huko wenye adabu na utii na hofu ya Mungu akamchukua binti yako Chakorii maana macho ya familia yamenichosha
Oyeee [emoji870][emoji870]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikua rede au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol atafanya kwa niaba yangu bhanaa. Naamini hivo.Afadhari mumnyonge sasa[emoji23][emoji23]
Siku zote Mimi ni mtumishi mwema wa KristoAnne tafadhari usiharibu naomba uwe mtumishi mwema wa bwana..[emoji1787]
Leo umekaa kivitisho vitisho tu sijui malaika mikaeli yupo wapi akutulize maana si kwa mikwara hii..[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijutiii kuwa kipendhiii changu,Wewe nigawe tu hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha hizo bhanaaah wee kipendhiiiii lol[emoji28][emoji28]mi mwenyewe sijui