T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,097
Akhsante sana mkuu nimeponaUgua pole mkuu
Akhsante sana mkuu nimeponaUgua pole mkuu
Kwani wachina wanatumia kipimo kipi babuuh?
Si ndo kipimo chenye ubora na uhakika?
![]()

























Akhsante sana mkuu nimeponaDah pole sana hebu weka location tuone vile tunaweza kufika
Akhsante sana mkuu nimepona nimerudi kwenye hali yangu kama zamaniDuh pole sana kk mkubwa,
Utapona na utarejea kwenye hali yako ya kawaida,
Amiini.
Akhsante sana mpendwa nimepona nimerudi kwenye hali yangu kama zamaniJaman ngosha pole mungu atakuponya babando maan nakuchek telegram haupo
![]()

Akhsante sana mkuu ReminisceDuuh pole sana Mkuu
Bado nipo Bariadi-SimiyuPole sanaa mkuu umekuja mwanza nije nikuchek au bado upo bariad
Akhsante sana mpendwa nimepona nimerudi kwenye hali yangu kama zamani
Telegram tena![]()

Akhsante sana mkuuPole Elly..unaendeleaje kwa sasa?
Akhsante sana mkuu sawimaPole sana.

Hahahaha..... Bachelor llNgoja nikupe namba ya sangoma ww utakuwa umerogwa na jirani yako baada ya ww kufanikiwa kununua zulia
Bas babuuuh nisamehe, sirudii tena mie.
Akhsante sana mpendwa MakiseoPole Elli Rafiki
Mungu mwemaBado nipo Bariadi-Simiyu
Akhsante sana mkuu nimepona nimerudi kwenye hali yangu kama