qeen jojo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,246
- 3,729
Kuwapiga vip tenaGuu vip umetupiga ban sio
Kuwapiga vip tenaGuu vip umetupiga ban sio
WaiNgoja niende..
Jana uliniquote Mara 2Kweli kiatu,
Kimenifurahisha.
Hhaha kumbe aje aseme alicho kiandikaJana uliniquote Mara 2
Bahati mbaya umefuta kabla sijasoma..uliandika nini?

Hutaki tuulizieKuwapiga vip tena
😋Nisiseme sanaa itoshe kusema nimegeukiwa... 🤣
Mtakatifu hutaki kupitwaJana uliniquote Mara 2
Bahati mbaya umefuta kabla sijasoma..uliandika nini?
Hhaha kumbe aje aseme alicho kiandika![]()

Huwa roho inaniuma pale ninapopata notification nimequotiwa sehemu halafu nafungua nakuta kitu kimefutwaMtakatifu hutaki kupitwa
Hata sisi roho inauma hivyohivyo.Inauma kwa me mtu kapost picha humu alafu anafuta sijaona...kama Chakorii anavyonifanyia
Pole sanaWapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na demu imekuwa nyingiView attachment 1688075
Ugua pole mkuuWapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na damu imekuwa nyingiView attachment 1688075
Sijafuta mbona angalia vizuri uko juuJana uliniquote Mara 2
Bahati mbaya umefuta kabla sijasoma..uliandika nini?
Aah mbna niliandika kitu positive tuHhaha kumbe aje aseme alicho kiandika![]()
Dah pole sana hebu weka location tuone vile tunaweza kufikaWapendwa wangu nahitaji maombi yenu maana naumwa malaria kali na damu imekuwa nyingiView attachment 1688075