Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii akiba na najiwekea nitavipitia kila kimoja na wakati wake,
Vipi mti ambae haendi kanisani lakini anaomba yeye kama yeye ana nafasi kwa mungu?
 
Hii akiba na najiwekea nitavipitia kila kimoja na wakati wake,
Vipi mti ambae haendi kanisani lakini anaomba yeye kama yeye ana nafasi kwa mungu?
Ebr 10:25
"Wala tusiache kukusanyika pamoja,Kama ilivyo desturi ya wengine,bali tuonyane;na kuzidi kufanya hivyo,kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia".


Neno la Mungu linatushauri hivyo


Unakuta mtu ndiyo ni kweli kabisa anaomba sana..na MUNGU amemsikia.
Akasema na mtumishi wake fulani kuhusu kilio na maombi ya huyo mwombaji.
Mtumishi anasimama anaenda kusema madhabani(Mungu amepitisha majibu ya maombi yako kwake)wewe haupo


Na ndiyo maana unakuta sometimes huko makanisani unakuta mtumishi anasema"Kuna mama hivi na hivi na hivi""halafu wewe hujaenda...upo kushandarize kivyako.. Mungu alishaachilia majibu ila hutaki kwenda kuyapokea.
(Sina maana ya kwamba Mungu anaachilia majibu kwa style hiyo tu)



Madhabahu ya Mungu ina nguvu..
Kuhani ana nafasi yake
Kila kitu kina nafasi na faida..na ndiyo maana hata zamani mahekalu yalikuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…