Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Alitajaye jina la Bwana na auache uovu.We Musa asingeenda kwa shetani hata kidogo mungu anakumbuka fadhila,
Sasa kwanini mungu alichagua wateule tu, kwanini wengine waangamie na kuteseka milele?
Unaona musa na kuongea na mungu kote still aliopotoka kidogo,Shetani alimgombania kwa sababu ya kosa alilofanya kule jangwani
Kwenye ule mwamba (marah-bitterness)
Uliokuwa na maji machungu
But nadhani Musa alipata nafasi ya kutubu kabla hajakufa pale Moab....na kosa lile lilimgharimu Musa kutokuingia Canaan(the promised land)
KweliAlitajaye jina la Bwana na auache uovu.
Uamuzi ni wa watu,kwenda motoni au Mbinguni...kuchagua maisha yapi ni bora.
Umeona kama mbinguni mbali... Huyo ni musa na dhambi yake moja tuShetani alimgombania kwa sababu ya kosa alilofanya kule jangwani
Kwenye ule mwamba (marah-bitterness)
Uliokuwa na maji machungu
But nadhani Musa alipata nafasi ya kutubu kabla hajakufa pale Moab....na kosa lile lilimgharimu Musa kutokuingia Canaan(the promised land)
Ni vyema japo sio mahali pazuri anyway anyway ngoja bia zianze kujaa...Yeah usiku flani ivi so mbaya kukumbushana,
Tuko na dada hapa, anivumilie na maswali napenda kujua,
Wanasema imani inakuja kwa kusikia napenda kusikia kwa wenye imani kama mimi inanisaidia na kunipa moyo siko mwenyewe na mungu yupo.
Kuna movie ya ten commandments, inaonesha kabla Musa hajaanza kumtumikia mungu alikua ameoa na mtoto mmoja je ni kweli?Umeona kama mbinguni mbali... Huyo ni musa na dhambi yake moja tu
Jukwaa la dini silionagi tena!!!Ni vyema japo sio mahali pazuri anyway anyway ngoja bia zianze kujaa...
Tunatofautiana.Sawa,
Swali lingine watumishi wakiombea watu hua wanaona mapepo?
Ulishawahi kushukiwa na roho mtakatifu?
Kuna movie ya ten commandments, inaonesha kabla Musa hajaanza kumtumikia mungu alikua ameoa na mtoto mmoja je ni kweli?
Huwez amin hiyo movie nimeicheki nikiwa mdogo na leo nimeiangalia 😅Kuna movie ya ten commandments, inaonesha kabla Musa hajaanza kumtumikia mungu alikua ameoa na mtoto mmoja je ni kweli?
Mod waliludishe tuu...Jukwaa la dini silionagi tena!!!
What happened?
Sawa nimefurah kufahamu hayo,Tunatofautiana.
Si wote wanao uwezo wa kuona live,,kuna wachache wamepewa macho hayo.
Ndiyo nimewahi..
Roho mtakatifu nilipewa Mara baada tu ya kuokoka miaka mingi iliyopita.
Huwa anakaa kimya nikijichanganya kidogo,nikirudi basi anaendelea na kazi (Roho mtakatifu hakai mahala pachafu)
Kushukiwa nimewahi mara nyingi
Ila ninayoikumbuka Sana ni May 9,2019
Ilikuwa j5 nadhani.
Ile siku haijawahi kutokea tena kama ile hadi leo..zile nguvu zilikuwa za ajabu mno.
Mkuu upo marekani au...
Sitaki wa kupunguziwa nataka wa maji tu
Napenda kula hivo
Hapa soko la mwanjelwa au?
Mungu anasamehe na kusahau kabisa.Unaona musa na kuongea na mungu kote still aliopotoka kidogo,
Alitubia lakini, mungu amasemehe.