Ujinga wa hivyo nilishauacha tangu 2020..
Kuna mtu alishawahi nitesa,anajibu anavyojisikia..unamvumilia mtu mwaka mzima ukijua atabadilika kumbe wapi!
Nikajifunza tabia ya mtu huwezi ibadilisha..
Aisee siji kupenda tena kifala vile,nitampenda atakayenipenda..asiye thamini upendo unaachana naye..yanini nijipe presha ningali ni kijana mdogo sana,mbichi kabisa Tena Safi kabisa tayari kwa kuanza safari..ninayo nafasi..watu wapo wengi sana hii dunia