Kunywa pombe sio ulevi,
Kunywa hakuzui mtu kumtumikia mungu,
Sio kila anaekunywa pombe anakua kalewa chakari,
Hela zitaisha bila ata pombe,
Msuko mmoja wa maana wa mwanamke ni zaidi ya cret mbili za a Serengeti lite
,
Dunia sio salama ata moshi(magari na n. k) na vyakula vinaharibu afya,
Kwaio kunywa pombe kwa kiasi hakuna shida as long as unakunywa kwa starehe yako na kipimo,
Piga beer
kwa kiwango maaalum,
Wanawake ambao hamtaki wapenzi wenu mnywe pombe ni wale ambao hawataki kuwapa alone time wapenzi wao everytime anatak awe nae,
Men do need some space,
Ni hayo tu.