Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 21, 2021 #87,901 geraldincredible said: coming of ageView attachment 1682731 Click to expand... ninja
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 21, 2021 #87,902 Ubinadamu Kwanza said: Wajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda Click to expand... 😂😂alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberu
Ubinadamu Kwanza said: Wajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda Click to expand... 😂😂alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberu
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 21, 2021 #87,903 billdrago said: ninja Click to expand... oyaa mchambuzi wa vinywaji nchini..... mkuu...
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 21, 2021 #87,904
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,829 Reaction score 40,372 Jan 21, 2021 #87,905 Huu Uzi nimeupenda nilikuwa naudharau siufungui kumbe mzuri hivi. Chakorii said: View attachment 1682751 Click to expand...
Huu Uzi nimeupenda nilikuwa naudharau siufungui kumbe mzuri hivi. Chakorii said: View attachment 1682751 Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,906 Ubinadamu Kwanza said: Wajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda Click to expand... yaani Wahehe kasoro yao ni hiyo tu Kumbe hadi Mkwawa alijiua
Ubinadamu Kwanza said: Wajerumani wanashangaa shangaa kuja kushtuka Mkwavinyika Mkwawa keshajinyonga tayari. Huwa hawapotezi muda Click to expand... yaani Wahehe kasoro yao ni hiyo tu Kumbe hadi Mkwawa alijiua
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,907 billdrago said: alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberu Click to expand... Kujiua ni dhambi ujue Na inasemekana ukifanya hivyo basi umejitafutia tiketi mapema ya motoni.
billdrago said: alijipiga risasi aliona ni ufala kuuliwa na beberu Click to expand... Kujiua ni dhambi ujue Na inasemekana ukifanya hivyo basi umejitafutia tiketi mapema ya motoni.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,627 Jan 21, 2021 #87,908 Chakorii said: View attachment 1682751 Click to expand... Ewaaa! Hawa wasafísha kucha kumbe wanafaidi sana eeeh, kweli kila mtu anakula ofisini kwake!!
Chakorii said: View attachment 1682751 Click to expand... Ewaaa! Hawa wasafísha kucha kumbe wanafaidi sana eeeh, kweli kila mtu anakula ofisini kwake!!
Eizyek JF-Expert Member Joined Aug 12, 2019 Posts 800 Reaction score 2,776 Jan 21, 2021 #87,909 Stay safe.
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 21, 2021 #87,911 mimi ni yupi??
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 21, 2021 #87,912 qeen jojo said: Coming Click to expand... una na dawa za kupaka
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jan 21, 2021 #87,913 Chakorii said: View attachment 1682751 Click to expand... Guu la bia hilo, hii ni massage au?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Jan 21, 2021 #87,914 The Monk said: View attachment 1682859 Click to expand... Mandhari mazuri.
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 Jan 21, 2021 #87,915 geraldincredible said: oyaa mchambuzi wa vinywaji nchini..... mkuu... Click to expand... Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu
geraldincredible said: oyaa mchambuzi wa vinywaji nchini..... mkuu... Click to expand... Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 21, 2021 #87,916 billdrago said: Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu Click to expand... hahahahahhahaha st Annie alinichekesha sana.....nilicheka kinoma
billdrago said: Dah kila nikitafakari huyu mwanamke cheo alichonipa namtafutia bonge la adhabu Click to expand... hahahahahhahaha st Annie alinichekesha sana.....nilicheka kinoma
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,917 billdrago said: Basi wahehe waliojinyonga Moto unawahusu Click to expand... Sasa sijui mbele ya safari kupoje Ila ukijiua kwa namna yoyote ile unakuwa unamkufuru aliyekupa uhai Afu nyie kujinyonga mnaona kama fashion hivi mm nawaogopa
billdrago said: Basi wahehe waliojinyonga Moto unawahusu Click to expand... Sasa sijui mbele ya safari kupoje Ila ukijiua kwa namna yoyote ile unakuwa unamkufuru aliyekupa uhai Afu nyie kujinyonga mnaona kama fashion hivi mm nawaogopa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,918 cocastic said: Cc hapo kwenye ulanzi acha tyuuh, unaujua vizuri wee? Mwenzio bas nagema mwenyeww kwenye mbeta zake, lita 4 namaliza kunywa, ulanzi unavonoga unafanya lyo lyo lyo. Click to expand... Chaaaa! Lt 4??? Nadhani nilishausahau .. niliwahi kwenda huko Iringa miaka ya nyuma Sana wakati nikiwa mdogo.
cocastic said: Cc hapo kwenye ulanzi acha tyuuh, unaujua vizuri wee? Mwenzio bas nagema mwenyeww kwenye mbeta zake, lita 4 namaliza kunywa, ulanzi unavonoga unafanya lyo lyo lyo. Click to expand... Chaaaa! Lt 4??? Nadhani nilishausahau .. niliwahi kwenda huko Iringa miaka ya nyuma Sana wakati nikiwa mdogo.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,919 cocastic said: Hapo kichwani wapo vizuri umepatia na wapare pia, nakumbuka o level class letu, tulikua tunakimbizwa na mpare, kuja advance lol wahehe wawili walikua wanashindana kukimbiza class letu. Hongera zao kwa hilo. Click to expand... Wana akili za darasani na za maisha Ila sasa kwa kujinyonga hawajambounakorofishana naye kidogo anaenda kujitundikA..anakuachia msala
cocastic said: Hapo kichwani wapo vizuri umepatia na wapare pia, nakumbuka o level class letu, tulikua tunakimbizwa na mpare, kuja advance lol wahehe wawili walikua wanashindana kukimbiza class letu. Hongera zao kwa hilo. Click to expand... Wana akili za darasani na za maisha Ila sasa kwa kujinyonga hawajambounakorofishana naye kidogo anaenda kujitundikA..anakuachia msala
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 21, 2021 #87,920 cocastic said: Sasa 3 3 unatafunaje? au unabubutua? Click to expand... Hivi kutafuna nako kuna mjadala?? Kama navyotafuna wali tu
cocastic said: Sasa 3 3 unatafunaje? au unabubutua? Click to expand... Hivi kutafuna nako kuna mjadala?? Kama navyotafuna wali tu