Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama ni hivyo basi sawa. cocastic njoo ujishaue na uweke picha za mabasha yako humu. Tena weka hata zile ukipakuliwa mavi kabisa laivu na clips juu. Wananzengo kumbe wanaunga mkono. Case closed !!!
nimecheka km mwehu kwa hii comment, na nimerudia kusoma mara zaidi ya 3, khaaaaaah.
Sijafikia huko mie,

Kwani picha zisizotakiwa ni zipi? Kwahyo hat picha za watu wangu wa karibu nisiweke, au zenye maudhui ya jambo lisilopendeza machoni Pa watu?

Hebu kuwa wazi nijue.
 
Tatizo uelewa na pia hutaki kuelewa, kaa chini usome vizuri na utakafakari utapata kufahamu nini kina maanishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…