Jomoneeeeeeeh hebu pita MALL yeyote chukua ukitakacho, nakuja kulipa wallah saiv.
NiceYeaaah nimekuelewa tena upo sahihi wala sikupingi, unajua hakna mtu yupo buzzy na maisha yake km mie, najua kila mtu ana maisha yake binafsi nje ya hii forum,
Ila tatizo ni kuwa kuna mtu alipojua kuwa uhalisia wangu ukoje yeye kaanza kun attack kila sehem nayopita ndan ya hii forum, na kila nacho comment lazima atoe attacks zake.
Sasa juzi kuna mazungumzo ya kuhusu mlima mkali kati ya kitonga na ule mtera, mie nkatoa hoja kuwa kitonga n mkali, maan huwa napita kwenda home na kuja huku niliko, yeye akaanza kusema kuwa isiwe natokea mkoa fulan akautaja nahisi ni kwao huko, ki ukweli ile comment iliniuma, nkaona ngoja nimuoneshe kua mie ni kichaa zaidi yake,
Ktk majibizano yeye akawa analeta attacks zake plus matusi na kejeri, mie nkaona nimuoneshe na picha ili aone uhalisia wa kile tunachojibizania. (Kwa hapa nakiri nilikosea na nilijua ni kosa ila hasira zangu zilifanya niweke tyuuh, NAOMBA MNISAMEHE SANA.)
Napenda kutoa hoja kwamba kuwa mie Gay hakuna ninaye mpunguzia au kumuongezea kitu, na uhalisia wangu uko hivyo siwezi kufake coz nahitaji kuwa real, ningeweza kuwa na ID ya kike ila ningekua ktk kifungo huru. Na hata uraiani nipo real ila ndan ya kiwango fulani, na naishi kwa kusimamia misingi ya taratibu, kanuni na sheria za nchi zilizowekwa. Na naheshimu na kufuata mipaka yangu kwa jamii inayonizunguka.
Maisha zawadi furaha,, maisha zawadi kwa JAH.
Kikubwa kumudu karaha, visa visasi baraha.
Tunaishi mara 1 tyuuh.
Wala siwezi kujikweza humu, kwa kipi na ili iweje yaan? Hat siku 1 sijawahi na haitowahi tojea kumu hulkia m2 for nothing,.Hakika wanaokujua ni wengi wakubwa kwa wadogo,
Tuhurumie sisi wengine watu kama nyie hatupendi ata kuwafahamu sembuse kuwajua lakini hulka yenu hua mnataka mfahamike,
Mwisho usiposti content za ushoga tafadhali, kaa nao ndani kwa ndani na wenzako usishee humu, wala kutaka kujikweza kisa wewe shoga BIG NO.
Jomoneeeeeeeh hebu pita MALL yeyote chukua ukitakacho, nakuja kulipa wallah saiv.
AsanteMy lovely cocastic kws ufahamu wangu sizani kama kuna mtu anakupangia namn ya kuishi mpenzi
Ila kinacho ongereka hapa ni the way maisha yako unayo dai ni yako waishi utakavyo kuwaonesha watu public tena watu walio kuwa wanakuheshimu
Ila unacho kifanya ingebaki kwenye maisha yako tu usingeshare na watu ina maan usingesikia hzi kelele zote
Ila mpk umeamua kushare hapa kwa umati wa watu ina maan uliamua kuwaonesha maisha yako yakoje,na ndo maan hapa jf watu awaweki maisha yao hadharan au kupost picha wakaachia sura zao..
kukubali kushindwa siku zote ukufanya mshindi kwa yule unaye shindana nae..lilikuwa jambo la wewe kutaka radhi kws hyo picha uliyo weka na maisha yakendelea
Binafs hzo hyo picha hakuna aliye hifurahia ilo ndo unatakiwa kulijua na hakuna ata mmoja anaye kusaport
Msema uongo na mshihudia uongo wote ni wadhambi sasa ukitaka mtu akutetee kwa ulicho kifanya kwa hyo dhambi unamfanya na yeye ashiriki hyo dhambi
Kulekebishana kupo pale mtu unapo kosea
Na ukirekebiswa kubali kulekebishika..
Kingine humu wamo watu wa kila aina wenye heshima zao na makahaba pia wanapatikana humu isitoshe ata mashoga wamo tena wengi tu lakn kwa vile kila mtu anaishi na maisha yake ndo maan unaona kila wanacho kifanya wao ubaki kwako
tukikutana humu unaweza fikiri wote ni wasamalia wema lkn sivo hvo ila ni vyenye watu wanaheshimu tu mambo yao binafs
Natumai umenielewa mpenzi
Ahsanteeeeeeh dear.Niceme nimekusamehe dyaa
Kweli iv tena dea, nakuja kulipa.wee danganya toto
Hujambo mkuuAbeee mkuu
Mkuu,Mie niko timamu ki akili na exposure kubwa, wanaonijua wanafahamu nikoje. Yaan nashukuru Mungu kaninyima vingine vyote, kanipa akili kubwa, ufahamu, uelewa na msimamo thabiti. Najivunia hilo.
Huwezi kuniyoosha mie, labda mie nikunyooshe wee.
AsanteMkuu,
Binafsi wala sina shaka na akili kubwa Mungu aliyokupa, sina shaka kabisa. You're so exposed na dunia na ndio maana upo hapo ulipo, hoja yangu ni kuyaweka ya chumbani yabaki huko, zile picha mimi sikuzipenda na nilikuwa wa kwanza kukukrash. Hata kama umeamua kuwa shoga, basi sawa lakini usituonyeshe, tumekataa kuzitizama.
Hakuna atakayekupangia nini ufanye, ila content za kishoga tumekataa usipost humu. Mashoga humu wapo kibao, wezi, majambazi, malaya, wahuni..nk Ila tukae nayo huko.
Asante
Wewe umenena vyema
Tuko pamojaAhsanteeeeeeh dear.
Hatukumjua kbla binamu..ata hvo hatumkatazi ila yabaki maisha yake binafs vitu kama hvo sio vya kushare public
Binamu tuachane na hzo habari bhna unarudi lini
Best hali ngumu sana kuliko kuagiz amarula si unidababishie tu kwa tigo pesa yangu chapuKweli iv tena dea, nakuja kulipa.
Sijambo mkuuHujambo mkuu
Nlikua na mpango wa kupita tu
Ila kumbe kuna drama humu
Narudi
Wale wanaosoma comments nani nimletee popcorn????
Aniwekee siti