Selfika na JF: Snap it. Show it

Haya tuonyeshe tulipojihesabia haki
Kukemea dhambi ni kujihesabia haki???
Hii ndio naisikia kwako

Ulitaka tuipigie makofi ili kuonyesha kwamba hatujihesabii haki?

MUNGU siyo mjinga kutuambia kwenye maandiko kwamba tuonyane.
Hakuna aliye mkamilifu,wote tuna mapungufu lakini mapungufu yetu hayatuzuii kuonyana
Na ile kwamba tuna mapungufu basi tuyafurahie mambo mabaya hapana nakupinga..lazima tuongee.

Hakuna mahala Mungu ameruhusu tuendelee kufurahiana kwa dhambi..na Kama unasukumwa kusema kukemea kitu kibaya na ukakaa kimya basi Mungu atakudai.

Acha kutetea ujinga bro..Kama huwezi kukemea basi waache wanaoweza wafanye na si kuanza kuwakatisha tamaa waache.

Nadhani Kuna mtu amechukua id yako kwa muda,Kama si hivyo basi leo umechemsha Sana kupita siku zote ninazokujua humu jf.
 
Huwezi kumpangia mtu pa kuanza kukemea.
Wewe Kama umepewa kukemea kwenye familia tu basi fanya kwa hapo..waliopewa zaidi ya hapo waache wafanye.
Neema ya MUNGU ni kwa watu wote na si kwa familia yako pekee...huo ni ubinafsi na ubinafsi si mzuri.
 
Acheni kulea mashoga katika uzi huu. Shoga linajishaua humu mpaka na picha za mabasha yake linaweka nyie mpo mnachekelea tu. Hata ufutwe tu ni sawa. Hamkitakii mema kizazi hiki! You condone faggotism?
Uzi hauwezi kufutwa huu.
Kama nyie hamuutaki basi mnaweza kuondoka mkatupisha.

Tuonyeshe wapi tumeshangilia picha za mabasha??

Hivi jamani kila mtu si ana I'd na mikono..kwanini umlaumu mwenzio wakati na wewe unaweza fanya makemeo ambayo unamlaumu mwenzio kwa kutoyafanya?
 
Hebu wahi mlimani city chukua chochote ukitakacho mie nakuja kulipa.
Hongera sana kwa hili.
 
Wallah nimetoa machozi ya furaha, hakika wee ni mtu bora sana.
 
hakika shule ulienda kusoma na kuchukua maarifa,
 
Hakika umeongea point kubwa sana, km hujaeleweka hapa basi hawata elewa kamweeeh.
 
Kwahiyo unanipangia muda wa kukemea?
Kama nilikuwa sijajiandaa au nilikuwa sijui...umejuaje kama nasoma kila post humu?unadhani sina kazi nyingine za kufanya ila ninayo hii ya kusoma comments zote selfika???

Kama umechukia na comments zangu kafie mbele, mwenyewe alinielewa na nilivyomwambia afute zile picha alitoa..wewe Kama unakereketwa Sana basi zirudishe..

Mnafiki wa Kwanza ni wewe unayepangia watu muda wa kukemea..na umeshindwa wewe kusema eti unakasirishwa na waliosema


Akili zangu umesema nimeshikiwa,yawekana kweli nimeshikiwa..ila wewe zako umeshikiwa na shetani ambayo ni mbaya zaidi.
 
Ata kama tuna dhambi ndo tusiongee!!
Si kweli lazima ukweli usemwe haijalishi side effects zake,
Hii hoja ya kumwachia mtu lifestyle yake asikemewe itachochea huu upuuzi humu.
Hapa nyuma ya
? Hivi nashindwa kuelewa kuwa km mko timamu ktk Bongo zenu, maisha yangu sipangiwi kamweee, wameshindwa wenye uchungu kwangu na wanaonijua mie A-Z, ndo muweze nyie hapa nyuma ya
? Naona mnabweka tyuuuh, mkichoka mtaacha.
 
Na una amini hayo maandiko kutoka ktk vitabu fulani vya dini? Najua ume refer BIBLE, POPE si ndio kiongozi anaesimamia kitabu hicho, vipi umeshasikia msimamo wake?

acha nicheke tyuuuh. Maan hoja ya DINI kwangu n dhaifu.
Halafu hao wanaoitetea hoja hawana uthibitisho wowote.
 
Mimi Anne kama Anne

Onyesha nilipohukumu.
Mimi nilitoa ushauri na hiyo ilikuwa Kama kuongezea pale niliposema atoe zile picha.
Sasa wewe kinachokuwasha ni nini?
 
hey hey hey take a loong breathe and relax mjadala achana nao huo ujumbe ushafika tutaendelea kukemea vikali hadharani regardless na sisi tuna dhambi kiasi gani
Kwangu hamuwezi kamweeeeh, tena hapa nyuma ya
, wee bweka uwezavyo ukichoka utaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…