Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama ule wa mapicha ya wadada mpaka Leo hii haujafutwa na hakika huu hautafutwa milele.
 
Achana nao dear! Atleast jaribu kufuata ushauri wa wale wote waliokuwa wanaongea na wewe na kukukanya kwa ustaarabu hao wako right!

Ila siyo hawa waliokazana kutukana mitusi! Eti oh uzi ufutwe umekaa kichoko yaani mijitu ina midomo michafu kama vyoo vya stendi!
 
Huu uzi sasa hivi unanuka, nasema ufutwe.

Kutoka kuwa uzi wa kujimwambafy hadi ushga

Mbaya zaidi mnaendelea kucheka nae
Ila ule wa kula tunda kimasihara ndio haunuki

Uzi umejaa uzinzi na umalaya tu mwingine eti mwanaume mzima anajisifia kupigwa mtungo na wanaume wenzie

So disgusting

Hebu mtuache na uzi wetu mtulie hivyo hivyo
 
Ila ule wa kula tunda kimasihara ndio haunuki

Uzi umejaa uzinzi na umalaya tu mwingine eti mwanaume mzima anajisifia kupigwa mtungo na wanaume wenzie

So disgusting

Hebu mtuache na uzi wetu mtulie hivyo hivyo
Ila huo uzi me sio mdau.
Halafu sikujua uzi wa kuweka mizigo umerudishwa.πŸ˜‚πŸ•Ί
 
Yeeeaaah mommy afu me ni muelewa sana, na ninafuata ushauri wa wale wenye hekima na busara,
Ila hawa makurubembe yenye stress za maisha huwa nawapa stahiki zao wanabaki kuteseka tyuuh.
 
Douta usifananishe kula tunda kimasihara na mambo ya ajabu
 
kula kimasihara for everybody
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…