donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Link mkuu:Thanks mbona mbs 200 tu itakua na quality kweli?
Pia kama hutojali naomba link ya hio website
Haya sasaTena natongozwa hata mwanamke hatongozwi ivo, napewa ile status ya u,
Ah hapana kwa kweli huu uzi naupenda sanaUnautetea sana huu uzi.
Nami nasema ufutwe tu...
Mwamba mlafi weweMtoto unaguu
Bila kusahau uzi wa vyakula.Ah hapana kwa kweli huu uzi naupenda sana
Haiwezekani mtu anatoka huko anasema eti ufutwe kwa sababu za kijinga tu
Halafu wengi mnaotaka huu uzi ufutwe ni wale waumini wa ule uzi wa Umewahi kula tunda kimasihara
Wivu tu unawasumbua ndiyo maana uzi wenu uliunganishwa hamna hata vya maana mnavyoandika mule utopolo tu
JF nyuzi za kudumu za maana ni
Selfika
Kupeana likes
Road trips
Usiku wa manane
Vituko mitandaoni
Makapuku
Angalau na zile special threads za timu za mipira
Huo wa kwenu hauna lolote bora hata ule wa Wa mwisho ndiyo mshindi
Wacha bhanaMwamba mlafi wewe
Asanteee 🧚♀️🧚♀️🧚♀️Mtoto unaguu
Kuna nini?Haya sasa
Hongera mommy tena uwaambie, wapambane na mie binafsi, uzi hauuhusu chochote, halafu mbona forum ina sett ya ignore na block au hawajui matumizi yake?Eh eh jamani kama mmeamua kupambana na huyo mtoto basi pambaneni naye kivyenu msimhusishe na huu uzi
Huu uzi tuko nao humu tangu mwaka juzi tena hata kabla yeye hajajiunga JF na hakujawahi kuwa na shida
Mtu anatoka huko alikotoka kashashiba zake mmea uzi kaujua juzi anakuja kuropoka humu eti huu uzi ufutwe wtf
Wengine tunafahamu status ya huyo mtoto tangu muda mrefu na wapo waliojaribu kuongea naye ila imeshindikana
Wengine mmemfahamu juzi tu mnataka kuanza kelele eti tumemlea ninyi mnajua ni watu wangapi wamemkanya humu
Wameshindwa kumbadilisha wanaoonana naye kila siku ndiyo mtaweza kumbadilisha ninyi mnaobwata nyuma ya keyboard
Wee kipendhiiiiih mbona ulikua kimya hivo? Vepeeeh
Mambo yamekuwa mengi kipenzi changu..Wee kipendhiiiiih mbona ulikua kimya hivo? Vepeeeh
Miss u moaaah
KarmaAh hapana kwa kweli huu uzi naupenda sana
Haiwezekani mtu anatoka huko anasema eti ufutwe kwa sababu za kijinga tu
Halafu wengi mnaotaka huu uzi ufutwe ni wale waumini wa ule uzi wa Umewahi kula tunda kimasihara
Wivu tu unawasumbua ndiyo maana uzi wenu uliunganishwa hamna hata vya maana mnavyoandika mule utopolo tu
JF nyuzi za kudumu za maana ni
Selfika
Kupeana likes
Road trips
Usiku wa manane
Vituko mitandaoni
Makapuku
Angalau na zile special threads za timu za mipira
Huo wa kwenu hauna lolote bora hata ule wa Wa mwisho ndiyo mshindi
Wee hiyo picha uloweka mbna sioni? Kulikoni?Wacha bhana
Huu uzi sasa hivi unanuka, nasema ufutwe.Ah hapana kwa kweli huu uzi naupenda sana
Haiwezekani mtu anatoka huko anasema eti ufutwe kwa sababu za kijinga tu
Halafu wengi mnaotaka huu uzi ufutwe ni wale waumini wa ule uzi wa Umewahi kula tunda kimasihara
Wivu tu unawasumbua ndiyo maana uzi wenu uliunganishwa hamna hata vya maana mnavyoandika mule utopolo tu
JF nyuzi za kudumu za maana ni
Selfika
Kupeana likes
Road trips
Usiku wa manane
Vituko mitandaoni
Makapuku
Angalau na zile special threads za timu za mipira
Huo wa kwenu hauna lolote bora hata ule wa Wa mwisho ndiyo mshindi
Yeah na huo wa vyakula na ule wa kubetBila kusahau uzi wa vyakula.
Hiyo ya kula tunda kimasihara ni ujinga tu
Iko huko juu ni ya siku nyingi nilikuwa kwenye mtumbwi na kwenda kisiwaniWee hiyo picha uloweka mbna sioni? Kulikoni?