Hiyo siku nilikuwa na vibe la kufa mtu
Mambo yangu yalikuwa yamekamilika Dodoma,si nikaenda fellowship usiku wa mkesha wa Christmas aiseee..hakuna siku nimecheza Kama hii.
Ule ukucha nilitafuta kitambaa nikafunga..nilitamani niende kuzibandua usiku uleule