Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,415
- 27,295
🥂Cheers guys!!
View attachment 1668968
🥂Cheers guys!!
View attachment 1668968
Duuh huyu mtakatifu anakula sana mitaaTrue
nataman niite Mtu Naogopa musije sema Behaviourist hamutaki aone😆
woiiii....sio wakubwa wanafaid sema wakubwa wenye pesa
Enzi hizo nilikuwa naishi kota fulani karibu na South villa nilikuwa nakuja kucheki pazi kota za Tanesco.Mkuu kumbe na wewe mdau wa pazi?
Mkuu kumbe na wewe mdau wa pazi?
Ohhhhhhhh!Kumbe ile kitu ipo!😉
Mkuu umeifanya siku yangu iende vyema kabisa!😄nataman niite Mtu Naogopa musije sema Behaviourist hamutaki aone😆
Hii picha imedumu humu masaa kumi yaliyopita....
Aminaeeh moyo wangu tulia muhimidi bwana
Punguza nyasi uione pepo we mtu.una uhakika gani kama ni yangu.bure kabisa we msukuma😂😂Hii picha imedumu humu masaa kumi yaliyopita....
Oh!!vizuri sana/upo vizuri
Moyo wangu tulia,tulia kwa.......
Fanya fanya basi na wewe tukachukue huo mkopo😅😅Jomoneeeeeh wafanya kazi wa TPB bank wakae tayar nimeshapata dhamana ya mkopo lol.
kipendhiiiiiih
Huyu sio wewe kaka😅😅😅hakyamama tenaeeh moyo wangu tulia muhimidi bwana
Weee usiniambie mzee wa frogOhhhhhhhh!Kumbe ile kitu ipo!😉
😆😆😆😆😆Mkuu umeifanya siku yangu iende vyema kabisa!😄
Wapi nimesema hiyo picha ni yako?Punguza nyasi uione pepo we mtu.una uhakika gani kama ni yangu.bure kabisa we msukuma
Ulikuwa unataka kumwita nani mkuunataman niite Mtu Naogopa musije sema Behaviourist hamutaki aone😆
Usiniambie kipara ngoto 😅😅😅woiiii....sio wakubwa wanafaid sema wakubwa wenye pesa
na ukubwa wangu huu hapa sifaid
Basi fureshWapi nimesema hiyo picha ni yako?
PoaBasi furesh