mimi nilimaliza 2014 nikawa nachagua sehemu za kufanyia kazi kuna mtu akanitonya Kikwete kauli mbiu yake ni ajira kwa Vijana, unajua anaekuja anakuja ana msimamo gani? utasota ufee
nikapata kazi Oct 2015, huwa namshukuru saba yule mtu sababu niliokua nachagua nao wawili mpaka leo hawajapata.