Selfika na JF: Snap it. Show it

Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili [emoji4][emoji4]
Dea bhanaaah bas sorry, tulikua tunazungumzia hao waliokua wanadharau na kukejeli jitihada za watu fulan ktk Elimu.
But miss u [emoji7][emoji7][emoji7].
 
Kuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile eti necta ya form 6 wanauliza what is classification swali la form 2 wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.
Hebu unitag kwenye hizo nyuzi nijionee bas cc,
 
Halafu sasa kwenye matokeo hiyo Bios imewaangusha wengi mnooh. Mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…