Cariha ndio anasema PCM kukariri tu eti art ndio kusoma zile ngonjera za ngoswe ndio ngumu [emoji38][emoji38]Mimi mwenyewe nishauingiza kwenye maajabu ya dunia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu kuna mtoto pale alikuwa anasema eti jamaa amekariri tu hana lolote.. yeye hata form 4 tu ilimshinda ila yupo pale kumponda Kihombo[emoji119]
Yaan kumbe huyo jamaa aliekua anatoa hizo pumba kumbe kasoma HKL? Sasa km kweli ni rahisi mbna yee alikimbilia lugha msieeew zake,Nchi ina maajabu hii acha kabisa.
Hata huko HKL kupata huo wastani sidhani kama ni rahisi hivyo..ingekuwa rahisi basi kila mtu angepata.
Ila kumkubali tu kama jamaa alikuwa anajua hawataki hadi kesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ulisoma kombi gan ?Yaani
Phy 99
Chem97
A.maths 98
Gs 98
Wanasema alibahatisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umenikumbusha mmoja akamtaja T.O Martin(EGM) 2007..kuna jamaa kaja kumjibu eti huyo chegere wako 99 ya physics hapati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kombi ya kibabe Sana you must be good upstairs Mimi nilisoma EGM Ilibaki kidogo nirukwe na akili
Daaaah ni watu waliopinda haswaaaah,Hivi umewaona lakini??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukienda utanyosha mikono mwenyewe.
Ni Uzi wa muda,tangu November nadhani
Bila urembo watu wasingesema hufananii kusoma PCM maana pisi za PCM mostly zinakua sura za kaziHalafu hapana sio mrembo wala,
Na kweli asingepata bhanaaah. Wee phys mchezo unadhan?Umenikumbusha mmoja akamtaja T.O Martin(EGM) 2007..kuna jamaa kaja kumjibu eti huyo chegere wako 99 ya physics hapati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa alikuja kumjibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cariha ndio anasema PCM kukariri tu eti art ndio kusoma zile ngonjera za ngoswe ndio ngumu [emoji38][emoji38]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umenikumbusha mmoja akamtaja T.O Martin(EGM) 2007..kuna jamaa kaja kumjibu eti huyo chegere wako 99 ya physics hapati[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni watu kukariri ivo ndo tatizo.Bila urembo watu wasingesema hufananii kusoma PCM maana pisi za PCM mostly zinakua sura za kazi
Tupia kapicha mkuu tuthibitishe [emoji3][emoji3]Ni watu kukariri ivo ndo tatizo.
Mm sijui walisoma nini nini ila walikuwa wengi tu wanapingaYaan kumbe huyo jamaa aliekua anatoa hizo pumba kumbe kasoma HKL? Sasa km kweli ni rahisi mbna yee alikimbilia lugha msieeew zake,
Msieeeew Dume zima afu linasoma HKL. na hakuwahi kuwa T. O.
Huna haja ya kuniuliza Hilo swali..Mimi sijasoma shule mkuuUlisoma kombi gan ?
CCECC
Yaani nilicheka hiyo sikuNa kweli asingepata bhanaaah. Wee phys mchezo unadhan?
Watu watata Sana[emoji23][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ule Uzi kiboko Sana , so mwaka huu unatimiza 24 mwezi wa ngapi?Watu watata Sana[emoji23][emoji119]
Mm nikitaka kucheka huwa naenda kwenye ule uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mm nina 34 naelekea 35Ule Uzi kiboko Sana , so mwaka huu unatimiza 24 mwezi wa ngapi?
Haha umenikazia [emoji3] Kuna jamaa kwenye ule Uzi kasema hizo heshima Bora akampe bilgate na sio Elias yeye personally anaona hajafanya kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe mm nina 34 naelekea 35
Birth date yangu inaonekana humu kwenye Profile yangu