Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,556
- 235,330
Ukienda kule watakupasua wewe pua[emoji23][emoji23][emoji23]Jaman mie sitakuja kusahau msuli wa PCM ktk maisha yangu yote wallah ivi. Acheni tyuuuh .
Afu m2 analeta utani wake na kejeli, ntakuja kupasua watu pua humu ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah nilisoma PCM, vipi mbona km umeshangaa na kushtuka?Ulisoma PCM [emoji44] , Big up
Hebu shangaa mwenyewe wanasema alibahatisha tu[emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuh physics 99 necta? Aseeeeh alitisha mnoooh,
Sema mie nlkua naskia habari zake pale shule.
Physics kna kubahatisha? Watu tunapata heshima kupitia physics.
Katika vitu nitabisha na nitajifunzia ubishi na HV saiv Sina kazi ni suala la wew kunizidi umriOna Sasa
Kumbe nachat na mdogo wangu
Kombi ya kibabe Sana you must be good upstairs Mimi nilisoma EGM Ilibaki kidogo nirukwe na akiliYeah nilisoma PCM, vipi mbona km umeshangaa na kushtuka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu wanevurugwa, yaan physics 99, na mtu kawa T. O afu wanasema kabahatisha? KhaaaaahUkienda kule watakupasua wewe pua[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanampinga hadi T.O unadhani watakuogopa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Bisha tuoneKatika vitu nitabisha na nitajifunzia ubishi na HV saiv Sina kazi ni suala la wew kunizidi umri
Physics mchezo cc? Mtu unakeshaa wee unaingia kwenye paper unaona kabisa, phys inakuambia "mie sio matako kwamba kila mtu anayo" basi jasho zinatoka za kuzunguka mdomo unafuta na ulimi, ladha sio ya chumvi ni sukari tupu.Hebu shangaa mwenyewe wanasema alibahatisha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa sijui alikuwa na akili gani aiseee..mm hata nimgekesha miaka miwili usiku na mchana bila kulala bado 99 sifikishi.
Huyo elias alikua ananipigisha pindi za hesabu hatumii kitabu topic zote zipo kichwani na hakuna swali linamshinda angalau na Mimi nikaambulia ka C [emoji3][emoji3] na shuleni kwao mwalimu wao wa hesabu alikua anatumia Pepa yake Kama marking scheme yaan Kama hujapata Jibu alipata Elias umekosa [emoji3][emoji3] halaf mtu anasema alikua anabahatisha seriousYaani
Phy 99
Chem97
A.maths 98
Gs 98
Wanasema alibahatisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Daaah PCM ni comb ya kindava sanaah, ila mie sasa watu wanasema sifanani na kusoma hyo comb lol.Kombi ya kibabe Sana you must be good upstairs Mimi nilisoma EGM Ilibaki kidogo nirukwe na akili
Nakutania siwezi ubishi Ila sijaaminiBisha tuone
Wallah uchawi upooh, tena ni New Version.Yaani
Phy 99
Chem97
A.maths 98
Gs 98
Wanasema alibahatisha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hahaha utakua mrembo mrembo Ila kazi kaziDaaah PCM ni comb ya kindava sanaah, ila mie sasa watu wanasema sifanani na kusoma hyo comb lol.
Hafu wanasema simple tu na maswali yake yako straight forward unaweka kanuni unatembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Physics mchezo cc? Mtu unakeshaa wee unaingia kwenye paper unaona kabisa, phys inakuambia "mie sio matako kwamba kila mtu anayo" basi jasho zinatoka za kuzunguka mdomo unafuta na ulimi, ladha sio ya chumvi ni sukari tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si umeona lakini walivyokuwa wanamkejeli kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo elias alikua ananipigisha pindi za hesabu hatumii kitabu topic zote zipo kichwani na hakuna swali linamshinda angalau na Mimi nikaambulia ka C [emoji3][emoji3] na shuleni kwao mwalimu wao wa hesabu alikua anatumia Pepa yake Kama marking scheme yaan Kama hujapata Jibu alipata Elias umekosa [emoji3][emoji3] halaf mtu anasema alikua anabahatisha serious
Ule Uzi ni ajabu la nane la dunia baada ya ile bustani inayoeleaSi umeona lakini walivyokuwa wanamkejeli kwenye uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilitamani mwamba ainuke japo dk 1 aone maajabu ya watanzania.
Nchi ina maajabu hii acha kabisa.Wallah uchawi upooh, tena ni New Version.
Khaaaaah lol
Cc mbona huo uzi sijaona, unajua hapa natamani kumzibua makofi ya uso huyo jamaa aliekua anasema ujinga wake, afu ukute alisoma HKL jamani ntakuja kuua m2 me.Hafu wanasema simple tu na maswali yake yako straight forward unaweka kanuni unatembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Na vitabu vyake vichache tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Hapo hiyo Nelkon tu hajui timbwili lake[emoji1787]
Halafu hapana sio mrembo wala,Hahaha utakua mrembo mrembo Ila kazi kazi
Hivi umewaona lakini??[emoji23][emoji23][emoji23]Cc mbona huo uzi sijaona, unajua hapa natamani kumzibua makofi ya uso huyo jamaa aliekua anasema ujinga wake, afu ukute alisoma HKL jamani ntakuja kuua m2 me.