geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 3, 2021 #85,541 Saint Anne said: Vyote Click to expand... diiih
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,216 Jan 3, 2021 #85,542 Saint Anne said: Kuna chakula kingine pembeni au ndio huto tuchips tu?? Hatutoshi hata kuonja. Click to expand... Hahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula Sana
Saint Anne said: Kuna chakula kingine pembeni au ndio huto tuchips tu?? Hatutoshi hata kuonja. Click to expand... Hahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula Sana
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Jan 3, 2021 #85,543 T 1990 ELY said: Leo sili mkuu Vipi kwema lakini mkuu Click to expand... Kwema.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,544 Arien said: Kweli kabisa! Kuna wengi wameenda kwenye unesi ilimradi tu yani ila hawapo huko kiwito kabisaaa Click to expand... Hizi kazi ni wito Ila kuna wajinga wanataka kuzichafua.. MUNGU hawezi pitisha uponyaji kupitia mtu mwenye roho mbaya
Arien said: Kweli kabisa! Kuna wengi wameenda kwenye unesi ilimradi tu yani ila hawapo huko kiwito kabisaaa Click to expand... Hizi kazi ni wito Ila kuna wajinga wanataka kuzichafua.. MUNGU hawezi pitisha uponyaji kupitia mtu mwenye roho mbaya
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,216 Jan 3, 2021 #85,545 Saint Anne said: billdrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji. Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku. Click to expand... Ntakuletea ishu ndogo mno hio utanipa location
Saint Anne said: billdrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji. Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku. Click to expand... Ntakuletea ishu ndogo mno hio utanipa location
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,546 billdrago said: Hahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula Sana Click to expand... Heesasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku Hakuna chakula hapo
billdrago said: Hahaha hapo ndio goodnight usiku hutakiwi kula Sana Click to expand... Heesasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku Hakuna chakula hapo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,547 billdrago said: Ntakuletea ishu ndogo mno hio utanipa location Click to expand... Afu leo ukajidai kupotea hili jukwaa. Tulikubaliana unaenda na mm kanisani. Niletee 88 kesho..napita kwenda kyela.
billdrago said: Ntakuletea ishu ndogo mno hio utanipa location Click to expand... Afu leo ukajidai kupotea hili jukwaa. Tulikubaliana unaenda na mm kanisani. Niletee 88 kesho..napita kwenda kyela.
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,245 Reaction score 11,777 Jan 3, 2021 #85,548 Saint Anne said: Hizi kazi ni wito na passion.. Ila kuna wajinga wanataka kuzichafua.. MUNGU hawezi pitisha uponyaji kupitia mtu mwenye roho mbaya Click to expand... Hakika!
Saint Anne said: Hizi kazi ni wito na passion.. Ila kuna wajinga wanataka kuzichafua.. MUNGU hawezi pitisha uponyaji kupitia mtu mwenye roho mbaya Click to expand... Hakika!
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,216 Jan 3, 2021 #85,549 Saint Anne said: Heesasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku Hakuna chakula hapo Click to expand... Haha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukija
Saint Anne said: Heesasa mbona nikija kwenu mtanitesa na njaa,ntalala njaa kila siku Hakuna chakula hapo Click to expand... Haha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukija
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,550 Saint Anne said: billdrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji. Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku. Click to expand... Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia
Saint Anne said: billdrago fanya kesho kuniletea hiki kinywaji. Haiwezekani naishia kukiona tu humu kila siku. Click to expand... Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,216 Jan 3, 2021 #85,551 Saint Anne said: Afu leo ukajidai kupotea hili jukwaa. Tulikubaliana unaenda na mm kanisani. Niletee 88 kesho..napita kwenda kyela. Click to expand... Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishana
Saint Anne said: Afu leo ukajidai kupotea hili jukwaa. Tulikubaliana unaenda na mm kanisani. Niletee 88 kesho..napita kwenda kyela. Click to expand... Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishana
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,216 Jan 3, 2021 #85,552 T 1990 ELY said: Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia Click to expand... Na wew mtumie ngosha awe nazo mbili
T 1990 ELY said: Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia Click to expand... Na wew mtumie ngosha awe nazo mbili
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,553 billdrago said: Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishana Click to expand... Ukaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani. Nilikuona nikakupotezea
billdrago said: Hahaha nilikua Uzi fulani tunabishana Click to expand... Ukaona ukija humu ntakuuliza habari za kanisani. Nilikuona nikakupotezea
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,554 T 1990 ELY said: Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia Click to expand... Asantee sana msukuma. Nitumie tu hata zikiwa 10 si mbeya..unipe kinywaji,usinipe hela maana siwezi kwenda nunulia bia.
T 1990 ELY said: Asipokuletea hicho kinywaji mimi naomba nikutumie/nitakutumia Click to expand... Asantee sana msukuma. Nitumie tu hata zikiwa 10 si mbeya..unipe kinywaji,usinipe hela maana siwezi kwenda nunulia bia.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,105 Reaction score 35,140 Jan 3, 2021 #85,555 Lizzy said: Karibu Click to expand... Asante, umetubakishia kweli???
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,556 billdrago said: Haha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukija Click to expand... Sasa wanakuta eti kwa watu nasema sitashiba Mm mwenyewe bila ugali au wali na chai usiku naona kama sijakula
billdrago said: Haha mdogo wangu hapa kasema yeye hawezi kula hizi ni mboga yupo kusonga ugali jikoni utaungana nae ukija Click to expand... Sasa wanakuta eti kwa watu nasema sitashiba Mm mwenyewe bila ugali au wali na chai usiku naona kama sijakula
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 3, 2021 #85,557 T 1990 ELY said: Na hata milele Kwema mpendwa Click to expand... Huku kwema Hofu kwenu gamboshi huko
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,558 Saint Anne said: Huku kwema Hofu kwenu gamboshi huko Click to expand... Vizuri sana kama huko ni kwema Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
Saint Anne said: Huku kwema Hofu kwenu gamboshi huko Click to expand... Vizuri sana kama huko ni kwema Na huku kwetu ni kwema kabisa mkuu tupo salama kwa matumizi ya binadamu.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,559 Saint Anne said: Asantee sana msukuma. Nitumie tu hata zikiwa 10 si mbeya..unipe kinywaji,usinipe hela maana siwezi kwenda nunulia bia. Click to expand... Sawa ila ukilewa usisingizie pombe au shetani alikupitia. Sawa mnyaki wa billdrago
Saint Anne said: Asantee sana msukuma. Nitumie tu hata zikiwa 10 si mbeya..unipe kinywaji,usinipe hela maana siwezi kwenda nunulia bia. Click to expand... Sawa ila ukilewa usisingizie pombe au shetani alikupitia. Sawa mnyaki wa billdrago
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Jan 3, 2021 #85,560 billdrago said: Na wew mtumie ngosha awe nazo mbili Click to expand... Acha awe na moja tu akiwa na mbili zitamtesa
billdrago said: Na wew mtumie ngosha awe nazo mbili Click to expand... Acha awe na moja tu akiwa na mbili zitamtesa