Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi ni Yusuf ndio alikimbia utamu wa mke wa mfalme? Yusuf wa leo yuko wapi
Yah ni Yusuph alimkimbia mke wa Potiphah

Yusuph alikuwa me rijali aliyetumia kichwa chake vzr..licha ya uzuri wake (inasemekana ndiye mwanaume mzuri zaidi kuwahi kutokea duniani)
Ila hakutumia vibaya uzuri wake.

Kwa Sasa atakuwa anakula bata Mbinguni huko.. naimani nikifika Mbinguni ntamuona HB huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…