Watoto wa kishua Bwana
hamjui kupika kwenye mafiga.
Kusonga ugali kwenye mafiga ni rahisi mno kuliko mkaa,Mimi napenda kutumia mafiga kwenye kusonga ugali.
Kwahiyo mama mkwe akakusaidia kusonga
Ila mambo ya ukweni jamani
Mimi ikitokea nikaolewa nikienda basi nikae tu siku chache...mambo ya kuishi na ukoo mzima kwa siku nyingi kwa kweli siwezi kabisa.