Selfika na JF: Snap it. Show it

vipi alikuoa pamoja na hekaheka zote hizo?
 
Watoto wa kishua Bwana
hamjui kupika kwenye mafiga.

Kusonga ugali kwenye mafiga ni rahisi mno kuliko mkaa,Mimi napenda kutumia mafiga kwenye kusonga ugali.

Kwahiyo mama mkwe akakusaidia kusonga

Ila mambo ya ukweni jamani
Mimi ikitokea nikaolewa nikienda basi nikae tu siku chache...mambo ya kuishi na ukoo mzima kwa siku nyingi kwa kweli siwezi kabisa.
 
😃😀 usiogope ukweni wapo wawili tu na mbwa wetu nae yumo kwenye share so ukipika unapika msosi wa watu wanne
 
Huu utambulisho kiboko, unafikia jikoni tena? Labda kama ulienda kukaa siku mbili tatu automatically ungeshiriki kazi za nyumbani. Anyway, kila familia/koo zina taratibu zake
 
@linahbaby bhana...

Kila la kheri mdogo Mungu akutangulie kwa kila kitu akuondolee vikwazo vyote mfanikiwe kufunga ndoa muanze kulala bila vyupi...
Kuolewaa ni sheria babygirl...

Ata uzunguke dunia nzima siku moja utaitaji kuwa na mume na family alafu mimi sio mara ya kwanza kuchumbiwa ati hii ni mara pili nilisha chumbiwa na muboy wangu tuliye dumu kwa muda mrefu kwa mausiano ila tulivunja kutokana na tabia za mshikaji alikuja kubadilika na kunifanya ngoma tena nakumbuka mpk nilikuja kuomba mpk ushahuri jf kama kuna mtu alisha pitia page zangu basi alisha kutana nao uo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…