Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Yeuyeewww 🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️Asante kipenzi changu....😘😘😘😘😘
 
Ameeeen mtakatifu, mshauri na mlezi wangu, maombi haya yakatimie kwa uwezo wake Allah.
 
AMINAAAAAAAAAAH
 
Asante mdogo wangu
Ila sikujua kama ulishindwa kugundua kuwa mimi ndiyo zoë

Kheri ya mwaka mpya dear
Ukawe mwaka wenye kheri na baraka tele kwako kipenzi
Oooooh jomoneeeeeh sasa why hata hukuninong'oneza kuwa ni wee, japo nlkua najua mna tabia za kufanana, maan kwenye uzi wa introvert ulivojipambanua na Zoë ni same, ila skuwaza km n m2 m1.

Love u sana na ninazidi kukupenda.
 
Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia
 

Aiseee Pole sana ndugu yetu
Time heals mkuu yataisha yote hayo
Hata hivyo you are not only one ulie gonga watu, kaka yangu aliua mlevi

Talk to Us utoe huo mzigo rohoni Kakaa
Walikua wangapi ? ilikuaje kwani ?
 
Aiseee Pole sana ndugu yetu
Time heals mkuu yataisha yote hayo
Hata hivyo you are not only one ulie gonga watu, kaka yangu aliua mlevi

Talk to Us utoe huo mzigo rohoni Kakaa
Walikua wangapi ? ilikuaje kwani ?
Asante bro , nilikua nimetoka wilaya fulani huku nyanda za juu kusini narudi mkoani nilikua speed kidogo Sasa ghafla siunajua mambo ya vijijini jamaa wamepakiana mshikaki wakawa wanaingia mainroad bila tahadhari nikataka kuwakwepa nikashindwa nikawapitia na Mimi nikayumba nikaenda anguka mbele kidogo palikua na watu wakajaa pale Kama ujuavyo ukigonga boda inaonekana mwenye gari ndio ana shida Basi ikawa tafrani pale wakakomba kila kitu changu nurusa wanakijiji waniue Askari wakaja ndio kuwekwa ndani wale walifariki wawili mmoja yupo hospitali Mimi sikuumia ingawa gari iliharibika kabisa
 
Ni mimi my dear
Asante jamani nakupenda pia
 
Duh pole sana mkuu
Mungu akupiganie sana rafiki
 
Pole sana mkuu billdrago, hakika style uliyomaliza mwaka sio poa ila hayo ndio maisha ya mwanadamu. Muda ni tiba tosha, pole kwa familia za waliotangulia.
 
pole Sana kiongozi nahisi ndio wewe uliekua na rangerover discovery nyeusi ulikua peke ako ile njia ya ruvuma njombe , pole Sana boss nilipita pale watu hawana huruma inasemekana ulibeba mpunga mwingi watu wakaanza kugawana hela dah dunia hii jamaa mmoja shuhuda alisema ulikua na zaidi ya mill zaidi ya mill 50 cash duu hope yataisha mkuu be strong time heals
 
Pole sana, kila kitu kitakuwa poa muda si mrefu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…