Selfika na JF: Snap it. Show it

Na kwako pia mdogo wangu nakupenda 😍😍😘😘😘
 
Ahsante mdogo wangu..wajua vile nakupendaga eeh...uwe na furaha siku zote Dada ako nipo hapa kwa ajili yako😍😍😘😘
 
Happy New year too.
Ukafanikiwe zaidi na zaidi,Moyo huo was kuinua wengine ukazidi maradufu na Mungu akukumbuke katika yote.
 
Ubarikiwe pia..
Kiroho Mwaka huu ukawe wa mabadiliko kwako,Kiu yangu ni kuona Mungu anakutengeneza kwa kadiri ya mapenzi yake kwa ajili ya kazi yake..akaondoe uovu wote na udhaifu,akufanye kiumbe kipya na iwe hivyo.
Mungu akukumbuke taaluma yako na akuvushe.
Mafanikio na baraka viwe juu yako.
 
Huu Ni Mwaka alioufanya Bwana
2021


Heri ya Mwaka mpya kwa kila mmoja


•Bwana akubariki na kukulinda

Ulinzi wa damu yake uende pamoja nawe,akulinde na hila na hatari na magonjwa na ajali..ukawe salama.

•Bwana akuangazie Nuru za uso wake na kukufadhili.

Mwanga wake ukafanye njia juu yako ..ukafungue mafanikio katika uchumi na katika Mambo yote.

•Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani.

Amani yake iwe pamoja nawe,katika nyakati zote amani yake itawale moyoni mwako..uso Wake uende pamoja nawe.

Natamka mafanikio na Baraka,
Mwaka huu ukawe wa mafanikio
Ukawe wa ushuhuda,ukawe was neema,ukawe wa kuvuka katika Mambo yote.
Mungu akubariki kazi yako ikazae moja kwa thelathini hadi Mia
.
Upendo wetu uzidi kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…