yaan ukinionea ukinionea mimi wivu aiseee mbona utakonda sana we tulia tu mkuu ukiamin kwamba lina linahbaby ni wako haita kuumiza hyo maan me mwenyewe uwa nimekaa kaa kimaumivu tu
Hahaa, haya mambo ya ajabu sana. Mtu hata sauti haijui lakini anakuwa na wivu wa kufa mtu. Kumbe huenda unaweza kutengeneza connection na mtu bila hata kumjua, is it possible?