Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 30, 2020 #83,921 Nuzulati said: Naunga mkono hoja na ukitaka ugombane na bibie mguse MTU cha wenyewe Nb:Ni utani Click to expand... hey,hey kwani kuna tatizo lolote
Nuzulati said: Naunga mkono hoja na ukitaka ugombane na bibie mguse MTU cha wenyewe Nb:Ni utani Click to expand... hey,hey kwani kuna tatizo lolote
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Dec 30, 2020 #83,922 Heaven Sent said: Eeeh hapo sawa kabisa Namshukuru Mungu niko salama kabisa Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ya kweli hayo eti wanyaki wanajua kupenda na kujali?
Heaven Sent said: Eeeh hapo sawa kabisa Namshukuru Mungu niko salama kabisa Sent from my SM-P601 using JamiiForums mobile app Click to expand... Ya kweli hayo eti wanyaki wanajua kupenda na kujali?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 30, 2020 #83,923 Eli79 said: Namsikia, sijawahi kufuatilia mambo yake. Ndio yeye anakuwaga Tanganyika Packers? Click to expand... Jaribu kumfwatilia. Ndiyo
Eli79 said: Namsikia, sijawahi kufuatilia mambo yake. Ndio yeye anakuwaga Tanganyika Packers? Click to expand... Jaribu kumfwatilia. Ndiyo
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,924 Saint Anne said: Jaribu kumfwatilia. Ndiyo Click to expand... Hapana!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 30, 2020 #83,925 Eli79 said: Dunia sio yetu kiaje wakati tupo duniani? Ni ya nani hii dunia? Nani kakuambia kwetu ni mbinguni na kwa nini iwe wachache tu watakaokwenda? Click to expand... Kwetu ni Mbinguni Sisi hapa ni wapitaji,si makazi yetu ya milele. Wapi nimesema wataenda wachache?? Nimesema wachache watabahatika kwenda pasi kupitia kifo. Soma Biblia utapata majibu ya maswali yote.
Eli79 said: Dunia sio yetu kiaje wakati tupo duniani? Ni ya nani hii dunia? Nani kakuambia kwetu ni mbinguni na kwa nini iwe wachache tu watakaokwenda? Click to expand... Kwetu ni Mbinguni Sisi hapa ni wapitaji,si makazi yetu ya milele. Wapi nimesema wataenda wachache?? Nimesema wachache watabahatika kwenda pasi kupitia kifo. Soma Biblia utapata majibu ya maswali yote.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 30, 2020 #83,926 Eli79 said: Hapana! Click to expand... Oh sawa Si lazima kumfwatilia lakini ni Muhimu. Nakushauri ukipata muda mfwatilie hutajuta, Mungu ameachilia vitu vingi sana kwake.
Eli79 said: Hapana! Click to expand... Oh sawa Si lazima kumfwatilia lakini ni Muhimu. Nakushauri ukipata muda mfwatilie hutajuta, Mungu ameachilia vitu vingi sana kwake.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,927 Saint Anne said: Oh sawa Si lazima kumfwatilia lakini ni Muhimu. Nakushauri ukipata muda mfwatilie hutajuta, Mungu ameachilia vitu vingi sana kwake. Click to expand... ..yeye anachukua shilingi ngapi sadaka?
Saint Anne said: Oh sawa Si lazima kumfwatilia lakini ni Muhimu. Nakushauri ukipata muda mfwatilie hutajuta, Mungu ameachilia vitu vingi sana kwake. Click to expand... ..yeye anachukua shilingi ngapi sadaka?
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 30, 2020 #83,928 Eli79 said: ..yeye anachukua shilingi ngapi sadaka? Click to expand... Ukipata nafasi ya kumfwatilia muulize Hilo swali. BTW sijawahi ona mtu akilazimishwa kutoa sadaka.
Eli79 said: ..yeye anachukua shilingi ngapi sadaka? Click to expand... Ukipata nafasi ya kumfwatilia muulize Hilo swali. BTW sijawahi ona mtu akilazimishwa kutoa sadaka.
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 30, 2020 #83,929 Karma said: Kweli kabisa Yeah ni utani tu Click to expand... 🥂🥂guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania
Karma said: Kweli kabisa Yeah ni utani tu Click to expand... 🥂🥂guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 30, 2020 #83,930 Eli79 said: Usipate wasiwasi dota, nimekubaliana na hoja kwamba wanyaki ni watu poa sana. Now I need kufanya confirmation tu, how? Click to expand... Sie ni Watu poa tu baba ukitaka kuconfirm tena how utajikuta unabadili hiyo imani bure
Eli79 said: Usipate wasiwasi dota, nimekubaliana na hoja kwamba wanyaki ni watu poa sana. Now I need kufanya confirmation tu, how? Click to expand... Sie ni Watu poa tu baba ukitaka kuconfirm tena how utajikuta unabadili hiyo imani bure
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,931 Saint Anne said: Ukipata nafasi ya kumfwatilia muulize Hilo swali. BTW sijawahi ona mtu akilazimishwa kutoa sadaka. Click to expand... Nimeuliza tu kujua Anne na hujanijibu ujuwe.
Saint Anne said: Ukipata nafasi ya kumfwatilia muulize Hilo swali. BTW sijawahi ona mtu akilazimishwa kutoa sadaka. Click to expand... Nimeuliza tu kujua Anne na hujanijibu ujuwe.
Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,675 Reaction score 39,092 Dec 30, 2020 #83,932 Chakorii said: 🥂🥂guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania Click to expand... Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe
Chakorii said: 🥂🥂guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania Click to expand... Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,933 Chakorii said: guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania Click to expand... ...wewe na watu wako
Chakorii said: guys.. mtu chake atakuja kujibu tuhuma zenu. Aise.. a. k. a timu kutania Click to expand... ...wewe na watu wako
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 30, 2020 #83,934 Eli79 said: ...wewe na watu wako Click to expand... Si ndo hapo sasa.. Kwa mfano wew na watu wako
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,935 sawima said: Ya kweli hayo eti wanyaki wanajua kupenda na kujali? Click to expand... Usidanganyike sawima
sawima said: Ya kweli hayo eti wanyaki wanajua kupenda na kujali? Click to expand... Usidanganyike sawima
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,620 Dec 30, 2020 #83,936 Chakorii said: Si ndo hapo sasa.. Kwa mfano wew na watu wako Click to expand... Ewaaaa! Wewe na watu wako!
Chakorii said: Si ndo hapo sasa.. Kwa mfano wew na watu wako Click to expand... Ewaaaa! Wewe na watu wako!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 30, 2020 #83,937 Nuzulati said: Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe Click to expand... 😅😅ngoja niishie kucheka. Nafikiri tumefunga ukurasa mama🥂🥂🥂
Nuzulati said: Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe Click to expand... 😅😅ngoja niishie kucheka. Nafikiri tumefunga ukurasa mama🥂🥂🥂
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 30, 2020 #83,938 Eli79 said: Nimeuliza tu kujua Anne na hujanijibu ujuwe. Click to expand... Mbona nimekujibu! Au ulitaka jibu gani? Nimekuambia umuulize mwenyewe kwa sababu sipo kwenye kamati yake ya huduma,siwezi jua kiasi anachokusanya
Eli79 said: Nimeuliza tu kujua Anne na hujanijibu ujuwe. Click to expand... Mbona nimekujibu! Au ulitaka jibu gani? Nimekuambia umuulize mwenyewe kwa sababu sipo kwenye kamati yake ya huduma,siwezi jua kiasi anachokusanya
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 30, 2020 #83,939 Eli79 said: Ewaaaa! Wewe na watu wako! Click to expand... Eeheee wewe na watu wako kwa mfano
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 30, 2020 #83,940 Nuzulati said: Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe Click to expand... Mwee kwani kuna nini? Hayo ya ng'ombe yametoka wapi tena?
Nuzulati said: Mimi nitoe kwenye tuhuma hizo sitaki kuja kuambiwa ng'ombe Click to expand... Mwee kwani kuna nini? Hayo ya ng'ombe yametoka wapi tena?