Ukinisusa nitakufa ujue
Hahahaha, hapana huwezi kufa , na sijui km naweza thubutu kukususia, labda ususe wewe
Nyie watu hamjamboNaanzaje sasa kukususia mimi jamani..eti we ulisikia wapi.ee..haiwezekani kabisa
Km kwako haiwezekani basi kwangu ndio kabisa sitaki iwezekane kukususia RafikiNaanzaje sasa kukususia mimi jamani..eti we ulisikia wapi.ee..haiwezekani kabisa
Wonderful and all the best.. Ila akifikia kukupiga ngumi usikubali tupo ambao tuko tayari kukupiga na mabusuYameisha isha mbona kitamboo mkuu na wala mtu chake asizani ndo nitaacha kumpenda nampenda tu hvo hvo ilo ajue...ata hvo kupigwa ngumi na mumeo si ishara kwamba hakupendi mengine yanakuwaga mahaba tu[emoji23][emoji12]
Kwahiyo jirani saa hii ndo unaniona sio.😁😁Nyie watu hamjambo
HahahahaWonderful and all the best.. Ila akifikia kukupiga ngumi usikubali tupo ambao tuko tayari kukupiga na mabusu
Yeuyeee🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Kwa ufupi ni kwamba haiwezekaniki kabisa.Km kwako haiwezekani basi kwangu ndio kabisa sitaki iwezekane kukususia Rafiki
Nafurahia uwepo wako humu la sivyo nishaaga
jinsia yako pleaseKichuna.
[emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1662431
hatimaye...[emoji39]
[emoji38]tumechezewa hapajinsia yako please
Natafuta marafiki wa kuwa nae wa jinsia yeyote
Husika na kichwa kama kinavyojieleza, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19, hivyo nahitaji marafiki wa kubadlishana nae mawazo na kuundoa upweke. Ukiwa tayari nifuate PM. NB: Jinsia yeyote na umri miaka 19 - 35. Location: Dar es salaam.www.jamiiforums.com
Gud 🥂🥂🥂hatimaye...[emoji39]
Hahahaha, tuko pamoja, tena ktk laiti trackYeuyeee[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]Kwa ufupi ni kwamba haiwezekaniki kabisa.
Nakushukuru mtu chake kipenzi changu rafiki [emoji8][emoji8]
Hata mimi naufurahia uwepo wako usipokuwepo naonewa sana[emoji16][emoji16]ila fresh kibabe sana
kwa hiyo unatusemelea sema nini Mkuu mtu chake atasepa tuu tutabaki wajumbeYeuyeee[emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]Kwa ufupi ni kwamba haiwezekaniki kabisa.
Nakushukuru mtu chake kipenzi changu rafiki [emoji8][emoji8]
Hata mimi naufurahia uwepo wako usipokuwepo naonewa sana[emoji16][emoji16]ila fresh kibabe sana
Woooozaaaaa🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️Hahahaha, tuko pamoja, tena ktk laiti track
Hahahaha, nitasepa nae Mkuu mbaki wenyewekwa hiyo unatusemelea sema nini Mkuu mtu chake atasepa tuu tutabaki wajumbe
utakuwa umemwepusha na kikombe hikiHahahaha, nitasepa nae Mkuu mbaki wenyewe
Kwan humu ndani tunabaki wangapi kila siku..Sasa mbona umejistukia au ndo wewe nini unaenioneaga[emoji28][emoji28]
Tusepe zetu rafiki yangu😅😅😅Hahahaha, nitasepa nae Mkuu mbaki wenyewe
Kama laki moja na ushenzy hivi😅😅😅Kwan humu ndani tunabaki wangapi kila siku..
Kwema sana tu mkuu vipi pande hizo kwemaMkuu T 1990 ELY kwema