atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,806
Hujanielewa nimeomba huu uzi usiwe na option ya kufuta kama inawezekana ili yeyote atakaetuma pic yake asiweze kufutaHawawezi kuudelete tutaandamana
Hujanielewa nimeomba huu uzi usiwe na option ya kufuta kama inawezekana ili yeyote atakaetuma pic yake asiweze kufutaHawawezi kuudelete tutaandamana
Duuu huu uzi ukikaa hapa kama una mtu wako kuachika ni dk 0...unaweza kujikuta umetongoza hapa hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dearNiitupia whatsup wananzengo wataunga dots wanijue hamna sijaitupia nimeitunza sehemu salama tu
Nimeshashindwa na huku[emoji134][emoji134]
Halafu una kashepu katamu.
😂😂 mawindo memaSio mimi bana, nimewaongelea wengine...mimi ni simba nipo mawindoni kama kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio utamgeuze mke wako ngoma sasa.Asante kwa hii elimu mpendwa
Huo ulionaoUrembo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]upi huo?
😂😂😂😂😂😂😂Nimeshashindwa na huku[emoji134][emoji134]
Naona Huu Uzi unaenda Kasi sana..View attachment 1221323
Nimeinua mikono.[emoji23][emoji23][emoji23] mguu wa shamsa unajulikana dada
Ss tusiokuwa na mkono wa kupiga inakuwaje?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Haya mnunulie sasa savanna sio sifa za maneno tuu[emoji28]Sanaa...ndio mdada wa kwanza naemkubali jf,ni mtu poq sana hana majivuni kabisa
Sijaelewa walaNitakuwa mfadhili wa pambano nami ,hakika
Aisee una ngozi nyororo kinoma
Jikaze 😂😂😂Kuna hatari ya kukimbia shindano hapa
Resepsheni siku zote ndio ina mvuto.
[emoji23][emoji23] mawindo mema
Haya mnunulie sasa savanna sio sifa za maneno tuu[emoji28]
Oh yeah nimekupataSio kupiga mangumi au fimbo, kuna hali flani ya ubabe hutuamsha sana unajua oooh yeah niko na dume hapa