Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahahahaha....una maanisha kuwa miguu midogo mpaka mkubwa siyo?
Huyo nae ana lake tyuuuh, picha ya mwanzo nimpepigwa mbali, na hii picha nyngne nimepiga mapaja tyuuuh, ndo maan mapaja yamekuzwa, na yey anaona km mapaja n makubwa,
Na hat ivo bado mapaja n madogo, labda km ana lake jambo.
Afu sasa picha ya pouz la hivi, hii sio ya kwanza kule juu nilishawahi kuuweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…