Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi kumbe uko siriazi mama..loh haki nilikuwa sijui...

So sadi pole...[emoji2296][emoji2296][emoji2296]

[emoji28][emoji28]huoni ukiondoka utakuwa umempunguzia injili [emoji2957][emoji2957]komaa dada
Si unajua ukisusa wenzio wala eee[emoji16]ehee

Kumpenda mtu si vibaya ila na yeye kukupenda hapo ndo kipengele si unajua eee[emoji16][emoji16]eheee
Jirani [emoji38][emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Me najua nananipenda sna tena kuzidi mimi ila tofaut yetu moja tu me nasema live yeye anasema kwa nukta shida ndo hyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe unajidanganya kwa vinukta shogaa😅😅utaumia kama ndo hivyo maana hivyo vinukta vinaandikwa kwa watu wengi humu.

Sasa wewe jichanganye tu na hivyo vinukta.acha kupoteza muda dada zama piemu huko

Ngoja nikukumbushe kuna kutamani na kupenda.sijui wewe unamaanisha nini.

Ukipata nafasi ya kupeperusha bendera jitahidi kuiwakilisha nchi vizuri sasa na wewe
 
Kumbe unajidanganya kwa vinukta shogaa[emoji28][emoji28]utaumia kama ndo hivyo maana hivyo vinukta vinaandikwa kwa watu wengi humu.

Sasa wewe jichanganye tu na hivyo vinukta.acha kupoteza muda dada zama piemu huko

Ngoja nikukumbushe kuna kutamani na kupenda.sijui wewe unamaanisha nini.

Ukipata nafasi ya kupeperusha bendera jitahidi kuiwakilisha nchi vizuri sasa na wewe
Hahahha staki
 
Back
Top Bottom