My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Heeee ! Panya buku ? [emoji23][emoji23]Kwa kimalkia wanaitwa guinea pig.
Ni jamii ya rodents.
Hata picha wajameni [emoji39][emoji39]Tuko bize tunajipikilisha
Maskini unatia huruma 😅😅😅mimi mwenyewe nasubiria mwaliko hapa.kwahiyo hauko peke yako ambae hujaalikwa🤪🤪Heeee ! Panya buku ? [emoji23][emoji23]
Sijawah kula aisee Hata picha wajameni [emoji39][emoji39]
Maana Kutualika hamjatualika
Nataka nione selfie zinazoambatana na pilau la leo.Ngoja tushibe kwanza tutaweka kitakachobaki..au kama vipi nenda uzi wa misosi ukashibe kule...
Mana hata mimi nategemea watu wapost kule kwenye uzi nikale[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23]Maskini unatia huruma [emoji28][emoji28][emoji28]mimi mwenyewe nasubiria mwaliko hapa.kwahiyo hauko peke yako ambae hujaalikwa[emoji2957][emoji2957]
Asante.Merry Christmas Annie
Mzima mkuu wa afya teleMbona kama vidole vinataka kuanza kufanya clubbing?
Ni mzima kiafya mkuu?
Mnoo anabanikwa kwenye Moto wa mafiga anapakwa chumviHaha wanaliwa sana huko?
Ipo kule juuHalafu huu Uzi hauna Selfie yako hata moja.. Uhutendei haki..
Mmmmmmmh!!!!!!Ipo kule juu
Mchumba[emoji173]Maana kwa ajili yangu Mtoto amezaliwa[emoji7][emoji177]View attachment 1658924
HallelujahMaana kwa ajili yangu Mtoto amezaliwa[emoji7][emoji177]View attachment 1658924
Noma sana hatari weka mbali na watoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu ns binamu yake [emoji12][emoji12]