Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa una nangana nae unamjua [emoji1787][emoji1787] yeye anakujua
Nitamnanga hivyohivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Kama aliwahi weka picha hata ya emoj tu na mimi taitumia hiyohiyo[emoji1787].
Halafu wenye hayo matatizo ya kunanga wadada ni ambao hawaeleweki[emoji38]wakaka wanaojitambua huwezi kuwakuta na hiyo kasumba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eenh hapo yeye kapewa file lako lote ila wewe hata herufi ya kwanza ya jina lake halisi tu huijui dah
Mimi ntapambana hivyohivyo [emoji23]
Yaani kama Kuna mtu anafikiria kucheza huo mchezo na Mimi nitamtafuta,labda nisiwe na namba yake.

Kwanza mtu akija weka picha yangu humu nitamuongeza na nyingine ambazo hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…