Yani hali ni tete
Nina huyo rafiki yangu anakuambia kwenye ukoo wao wanaume ndiyo wambea kuliko wanawake na tena ni wababa watu wazima wameoa na wana familia zao
Yani hali ni tete
Nina huyo rafiki yangu anakuambia kwenye ukoo wao wanaume ndiyo wambea kuliko wanawake na tena ni wababa watu wazima wameoa na wana familia zao
Yaani hata sijui analipwa nini aisee! Mwanzo nilikuwaga tu nasikia kuna watu wanalipwa humu ili kupata picha na info za watu fulani nikawa nahisi utani sasa ndiyo nimeamini!