[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa una nangana nae unamjua [emoji1787][emoji1787] yeye anakujua
taja hiyo helufi ya kwanza mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eenh hapo yeye kapewa file lako lote ila wewe hata herufi ya kwanza ya jina lake halisi tu huijui dah
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tayari madame fasta sana [emoji28][emoji28]
Ila usikute labda kuna mtu alikuwa anatumia simu yake..najaribu kuwaza ila sijatoka jibu ujue
Babe unashangaa ya kwake na alizokuwa nazo anasambaza mla cha wenzie na chake huliwa pia
Huo uchebe ufuge fuge ukue eenh sawa mkuu [emoji847]
Sio jf tu hata mtaani wanatisha balaa.Umeona enh
Na wanaume wa JF ni wanafiki na wambea wanawake tunasubiri
Nikupe ya kukusifia sana au kidogo?[emoji16]Teh Teh
Sawa Rapcha hebu tupe mistari aisee
Yaaani unakuwa mpole ghafla huna cha kufanya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eenh hapo yeye kapewa file lako lote ila wewe hata herufi ya kwanza ya jina lake halisi tu huijui dah
[emoji3526][emoji3526] ngoja niendelee kuupalilia ukue vizuriHuo uchebe ufuge fuge ukue eenh sawa mkuu [emoji847]
Mmhh kitu gani hikoHebu umuulize kwanza pengine labda kutakuwa kunakitu..ninatafakari sipati jibu haki tena
Hapo sasaNa hakuna wanafki kama wanaume wa jf unaona wanakupenda kukukula wanakukula na siri wanatoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mimi nimeshasema ikijirudia hii naweka thread nataja jina na picha yake juu
Nikipewa ban nitapumzika jf nikichoka nitamuomba msamaha melo WhatsApp nitamlilia machozi yote
Ewaaaah[emoji3526][emoji3526] ngoja niendelee kuupalilia ukue vizuri
nzeze mghoshi[emoji23]Hivi ni kini che wafanye wandee wakishambaa watana kwei, ambu ni rangi yenyu ye mng'alo. Moyo wangu uita kasi kwei shunie...nkunda siku ing'we nkunkhe zawadi spesho.
Mtoe joanah hapo mkuu hanaga hizo mambobila shaks ni joanah
Ila Melo nae anapenda umbea bwana asinipe ban bwana yaani nitampigia magoti yote mawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Melo anatakiwa awe muelewa tu kwa kweli ban ya nini sasa
Ntana mghoshinzeze mghoshi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baadhi dota, repeat that...baadhi![emoji23][emoji23][emoji39]