Yani mtu mmoja a kufanya ujione umeshajiharibia sio kweli.ningekuwa namjua huyo mtu haki ningembwaga hapa hapaYeah dear! Humu tunafahamiana tu ila katika kufahamiana huko kuna watu na viatu cha msingi ni kuwa makini tu wengine ndiyo tushajiharibia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We hivi hizo picha umenitumia kweli? Usiniweke mwenzako roho juu juu kama nachemsha maziwa!
Leo ni special case so ntamuacha tu aendelee kuwemoHaya do the needful sasa toto
Hilo la kuhusu mama kujitoa JF hebu kwa leo achana nalo kabisa tufanye kama hakuwahi kuliongelea hilo jambo
Picha ya mdogo wangu hiyo vincKumbe wewe pisi kali[emoji3]
Hapo kwenye lolote laweza kutokea nipatamu sana mkuu....Kama mchunga kondoo wa bwana lakini lolote laweza kutokea wakati wowote
Ndiyo ndiyo[emoji1787]Eti usije kuharibu watoto[emoji3][emoji3][emoji3]
Ili tusingizie pombe ee😅😅😅chizi kabisa.Hapo kwenye lolote laweza kutokea nipatamu sana mkuu....
Napenda hilo lolote litokee tukiwa tumelewa ili shetani tupate cha kumsingizia.
Vipi kwema lakini mkuu
Za kwangu njema/salama kabisa mkuuIli tusingizie pombe ee[emoji28][emoji28][emoji28]chizi kabisa.
Kwema kabisa Elly..za kwako
Mie nilitamani nimuanzishie uzi! Ila nikaambiwa nimuache ndiyo anaweza akazileta jukwaani kabisa kwa hasira!Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..
Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
Umeona eenhHalafu mtu unaemwamini ndie anaetoa taarifa zako..ni mbaya sana
Yaani we acha tu! Kama naona vile tukimuanika wanaume wengi wa JF watakavyokuja kutushukia kama mwewe kumtetea maana ndiyo wanaomtuma kufanya hiyo kazi!Yani mtu mmoja a kufanya ujione umeshajiharibia sio kweli.ningekuwa namjua huyo mtu haki ningembwaga hapa hapa
Naam haya ndio maneno sasaLeo ni special case so ntamuacha tu aendelee kuwemo
Weka wewe tukuone kwanza.Wekeni picha acheni maneno
Haswaaaah dea, tupo the same wid me, yaan naiona Dunia nyepesiiiiih.Tena rahisi kama kama mtu utakuwa hushughuliki na mambo ya watu
Usjar San wee kuwa tyuuuh buzzy na mambo yako binafsi, hutoona shida wala tatizo lolote. Maish mafupi haya relaaaax.Yeah dear! Humu tunafahamiana tu ila katika kufahamiana huko kuna watu na viatu cha msingi ni kuwa makini tu wengine ndiyo tushajiharibia!
Just do what yo heart tells you 2di..m........ker huu mwili si kitu tena ukishatengana na roho.Haswaaaah dea, tupo the same wid me, yaan naiona Dunia nyepesiiiiih.