Selfika na JF: Snap it. Show it

Mno yaani
Unaweza shangaa chakorii watu Wana mafile yako wewe mwenyewe hujui

Tena bora yangekuwa ya kweli.
Wooooooiiiii mimi mtu akiwa na mafile yangu yawe fake ama halisi unafikiri napata tabu basi😁😁

Sana sana nitamwomba aje kwangu achukue taarifa zingine ambazo hazijui😆😆

Unafikiri ninamuda basi..yani niwaze namna ya kutafuta fweza,,,nawaze pia na maneno ya watu eti fulani kasema nini 😁😁thubutuuuuu
 
Na Mimi huwa napenda kumwambia mtu hivyo,Kama kuna mahala hakuelewa walikokuwa kuambiana basi aje aniulize tu..asiogope
 
Woyoooooooooooh bas Dunia unaiona rahis tyuuuh, saf San dea.
 
JF watu wanajua sana kuchafua wenzao! Ukiwa na moyo mdogo unaweza jikuta unakimbia kabisa mtandao ila wengine tumeamua kukaza mioyo tu tutafanyaje sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…