Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sasa jeee...Ile ya mwanya niliiona tena nilimuambia kabisa kuwa kafanana na dada yangu
Naomba ya st. Anne dada
Sasa jeee...Ile ya mwanya niliiona tena nilimuambia kabisa kuwa kafanana na dada yangu
AsubuhiHaha na wewe umeziba Jana usiku au jioni
Mimi sina mbona etiMimi ninayo ya ule mguu...Ni hatari Sana
Sawa mdogo wangu iko angani inakujaAsante dada
Naituma saiviHaijapoa hadi nione
Daah kwahiyo mimi sifai kuona picha zako??Subiri.
Kwa faida ya wengine(sio wewe)
Naweka soon



sawa bwanaNaiona flying horse kwa nyuma hapo
Unamuomba mtu ambaye hakuwepo.Sasa jeee...
Naomba ya st. Anne dada
Wewe ulishaonaDaah kwahiyo mimi sifai kuona picha zako??sawa bwana
Sawa mpenziUnamuomba mtu ambaye hakuwepo.
Ngoja soon naweka,usiondoke
Alipita ila hajatuma picha na Mother Confessor ndiyo sijamuona kabisa na Relief Mirzska naye sijui kapita kimya halafu nimegundua humu waliotuma picha wengi ni wanawake yaani wanaume waliotuma ni wachache sana tena siyo wale tunaokutanaga nao kule MMU yaani wengi wameuchuna aiseHivi Khantwe alishapita humu?
Haya Saint anne sema suuu nichomoe betri yako hukuSasa jeee...
Naomba ya st. Anne dada
Waite.