T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
Vizuri sana kama wewe ni bukheri wa afya.Sasa tutaishije mpendwa? Au kwa neno?
Mie ni bukheri wa afya, na kwa pozi hilo natumai nawe u mzima wa afya kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nipo salama kanisa mpendwa.