Ohhhhhhh okey sasa naelewa.. Ah wewee hata mimi, nimekumiss mno, ulipotelea wapi, ukaamua kubadilisha na ID, ndiyo maana nikawa najiuliza hivi huyu mtu mwenye katabia kakusema chati na picha nimlisikia wapi, karibu tena mpendwa nimekukumbuka mno mnoooo