Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,086
Mbona unanilazimisha 😂😂😂😂Sasa si umekosea Embu undo nenda kacheke kwa Shimba ya Buyeze
Mbona unanilazimisha 😂😂😂😂Sasa si umekosea Embu undo nenda kacheke kwa Shimba ya Buyeze
Mizigo ndiyo mpango mzima aisee![]()
Haha!tuma hivyo hivyo.
Huku juu kutakuokoa
Tayari subiri ushuhuda
Hongera
Nipo hapa kukupigia debe dadaHaha!
Anne kama hunipendi nambie tu !!


Nasubiri nione muamala kutoka kwako kwenda kwa Mimi ni mama usiniangushe tafadhali
Sio rahisi kiivyo
miminimama hembu fanya kuweka Tena zile za Jana kwa faida ya kapeaceJana nilipitwa na mengi mno
Woyooooo




Mbona unanilazimisha![]()
Utajikuta Asha boko we shindana na tembo kunya shaurilo.....hahahahaemu tuongeze jitihada katika kula
Hata hivyo hongera dada ake..Hajatuma mdogo wake i guess kabanana na kazi ndo natoka kwa wakala mwepesiiii nina 20,000 mkononi.



miminimama hembu fanya kuweka Tena zile za Jana kwa faida ya kapeace
Wewe kitumbua chako tu kutoa ni mgumuHahahahaha usinitishe
Aiseee.emu tuongeze jitihada katika kula




Nataka at least nifikie size yako au sio mwenza chibonge Saint anneUtajikuta Asha boko we shindana na tembo kunya shaurilo.....hahahaha