Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

@SHIMBA YA BUYENZE
Happy Belated Birthday Dear Bro. Mimi Makiseo na Mdogo wangu Espy Tunakupenda sana.. Tunakutakia maisha mema yenye kumpendeza Mungu.
Thanks sis. Sala yako na ikasimame. Ila huyo mdogo wako huyo mh! Matatizo matupu aisee. Akiona mafurushi anapanick huyo [emoji16][emoji16][emoji16]

Asante Makiseo. U binadamu mwema. Karibu sana Nyakabindi anytime dadangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mimi nasingiziwa sana humu sijui kwanini[emoji2369][emoji2369][emoji2369]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20201213_171710.jpg
 
Back
Top Bottom