Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,319
Aiseee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nimeruhusiwa tangu dunia inaumbwa ya kwamba katika uongo mzuri ni kumsifia mwanamke hata kama sifa hiyo hana ila iwe inakaribiana na aliyonayo.
Watoto wakike mnapenda kusifiwa nyinyi,yaani uzuri uzuri ndio sifa zenu.
Nimemkumbuka yule jamaa wa instincts hivi amerudi?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mwehu wewe
Enheeee umesema vizuri nyie tusifieni tu hata vya uongoNimeruhusiwa tangu dunia inaumbwa ya kwamba katika uongo mzuri ni kumsifia mwanamke hata kama sifa hiyo hana ila iwe inakaribiana na aliyonayo.
Watoto wakike mnapenda kusifiwa nyinyi,yaani uzuri uzuri ndio sifa zenu.
Hujaona pics ndo tatizo mi ni mweupe peee
@mzigua90 mm huwa nakufikiria ni mdada fulani mnene hivi kumbe sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inagomaaa au sijui sababu nimefanana na ba mdogoTuma basi Piemu au unasubiri nitangaze dau ?
Ajabu watabisha wakati sisi ndio tunao uona uzuri wao.Asiyeelewa hapo tena basi
Nimemkumbuka yule jamaa wa instincts hivi amerudi?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
3000....hukoPost namba ngap?
UsiwekeNiweke nisiweke?
Itakuwa hawana hela maana wengi wanafuatilia huu uzi ila ndo hivyo pesa hamuna.. Dada angeweka
[emoji29][emoji29][emoji29]Nimeruhusiwa tangu dunia inaumbwa ya kwamba katika uongo mzuri ni kumsifia mwanamke hata kama sifa hiyo hana ila iwe inakaribiana na aliyonayo.
Watoto wakike mnapenda kusifiwa nyinyi,yaani uzuri uzuri ndio sifa zenu.
😂😂 hadi itakapotangazwa tenaNimemkumbuka yule jamaa wa instincts hivi amerudi?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
NawekaUsiweke
Hahaha wewe uliwaamini wale vichaa
Ukiniona utaumia sana,na utapata shida mno.Enheeee umesema vizuri nyie tusifieni tu hata vya uongo
Picha babu tunataka