Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shikamoo baba SYB.
Unalingana umri na baba yangu..ni leo tu nimetoka kuongea nae sijui tulia nzima wapi ila akaishia kunitajia miaka..inafurahisha ee ehee
Yeye ni 9.9....

Happy new age Daddy SYB.

ASANTE sana binti yangu mwema. Mungu Aendelee kumbariki mzee wako pia na kumjalia miaka mingi mingine hapa duniani. Endelea kumwangalia na kumjali. Utabarikiwa sana
 
Naelewa kuwa hii ni siku pia ya majonzi kwako. Pole sana.

Kweli kabisa mdogo wangu soon unatufikia wenye 70 yetu. Karibu uzeeni.
Kaone. Kufikisha miaka 70 kwa kizazi chenu hiki cha mabroila hiki ni bahati sana. Afadhali sisi kidogo tulikulia kwenye vyakula halisi na maisha ya kuhangaisha mwili. Ila nakuombea uje ufikishe miaka 70 na zaidi.

ASANTE
 
Khaa nipoje mkuu
Wee mwembamba, una tu mguu twa soda, una kiuno nyigu, mgongo flat iv, tumbo flat pia una uso mrefu na macho kma unaangalia chini ..afu nikwambie kitu, suruali azikupendez mwaya, pigilia vigauni vya kushona vile day utatisha kinoma ..

Em nichek PM tubonge zaid namna ya kuvaa..
 
Back
Top Bottom