T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,934
- 30,093
Marahabaa!Salama kiongozi, baridi tu kutoka kilima kirefu inatunyanyasa
Vizuri sana kama ni salama mkuuSalama kiongozi, baridi tu kutoka kilima kirefu inatunyanyasa


Umesemaje wemsukuma!!nimeanza lini kuwa future wife wako tena!!unataka kuniletea mabalaa ya kumwagiwa maji ya moto kwenye mwandiko 😩😩..haya rekebisha mwandiko wako haraka iwezekanavyo.
NdioHopefully wote mmeamka salama humu ndani
Hahahaha......Umesemaje wemsukuma!!nimeanza lini kuwa future wife wako tena!!unataka kuniletea mabalaa ya kumwagiwa maji ya moto kwenye mwandiko..haya rekebisha mwandiko wako haraka iwezekanavyo.
Hata kustuka sidhubutu arifu..vyakula vyako vyenyewe ni mtihani..akuuuuuuu mie
Figure ya Taifa!🚶🚶🚶
Kwahiyo ndo umeona unicheke si ndio.
Wee usiniambie 😁😁Figure ya Taifa!🚶🚶🚶
Vizuri sana kama ni salamaKwahiyo ndo umeona unicheke si ndio.
Kijana litakukuta Jambo uje..rekebisha
Ni salama kabisa Elly sijui wewe.
Haya rekebisha fasta
Si bora Hata wewe mtu anareply..
Kabisa mkuuKweli kabisaaa




ChakoriiSi bora Hata wewe mtu anareply..
Sie wengine huku umemfia mtu ,,kumbe yeye mwenzio kaifia bangi kindakindaki![]()